M Mwikimbi JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,762 825 Sep 23, 2009 #21 Imeandikwa kwenye mwanahalisi liko mtaani sasa hivi
G Gongagonga Member Sep 22, 2009 25 1 Sep 23, 2009 #22 Mwanahalisi ni udaku ni gazeti la udaku mambo leo. Hiyo source yao ya habari imeniacha hoi bin taaban!
Mwanahalisi ni udaku ni gazeti la udaku mambo leo. Hiyo source yao ya habari imeniacha hoi bin taaban!
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,444 Sep 23, 2009 #23 Gongagonga said: Mwanahalisi ni udaku ni gazeti la udaku mambo leo.! Click to expand... Duh wewe kweli umeathirika na magazeti ya Shigongo bila shaka hilo Mwanahalisi ndo baba la magazeti chunguza utabaini.
Gongagonga said: Mwanahalisi ni udaku ni gazeti la udaku mambo leo.! Click to expand... Duh wewe kweli umeathirika na magazeti ya Shigongo bila shaka hilo Mwanahalisi ndo baba la magazeti chunguza utabaini.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,444 Sep 23, 2009 #24 Join Date: Tue Sep 2009 Posts: 2 Thanks: 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power: 0 Click to expand... Ahaaa kumbe sio kosa lako umeingia kichwa kichwa JF.
Join Date: Tue Sep 2009 Posts: 2 Thanks: 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power: 0 Click to expand... Ahaaa kumbe sio kosa lako umeingia kichwa kichwa JF.
Col Miraji JF-Expert Member Sep 20, 2016 546 508 Mar 31, 2017 #27 Acha tu Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app