The Return of Dogo Janja

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,541
10,211
inakuaje wadau??,mazee huyu dogo amenivutia sana hasa alivyoimba lile dude lake jipya na p.n.c chini ya marco challi,mnaonaje progress yake atatisha hapo mbeleni maana yake kuna muda alivyokuwa chini ya watoto wa manzese,tip top alitaka kupotea fulani hv kwenye game
 
Mi si mpenzi sana wa bongofleva lakini hii ngoma nimeikubali. PNC killed it. Dogo Janjaro always on point as usual.

 
Last edited by a moderator:
Dogo janja ft pnc-Ya Moyon.
Chorus>>> Wala mi sina hila,
ila nafsi yangu yanituma.
kusema ya Moyoni.wala sina kisasi namshukuru Mola,
Huko niliko toka na sasa nilipofika..
mtanashati hasa,natiririsha ngoma,
Mtanashati hasa nakinukisha hasa..

Vina vya dogo janja>> kesi zangu naziacha Mungu atawasomea..
Jasho langu kwenye shamba lao walilifanya mbolea,
Hawakujali niliko tokea,
Shida zote kujibebea,
Wakanifunga akili huku miguu ikitembea,
Mama akasema mwanangu kaza msuli,
Ukitaka kuzikwa na watu vua koti la ukiburi,
Ila wewe jeuri kiburi,
Mimi sio mzuri pesa ndo kiburi,
kudai haki yangu kumejenga uadui,
Napenda madui zangu
Na ndugu zangu siwabagui,


www.hulkshare.com/83zavcmczjwg
 
Back
Top Bottom