The relationship between Zitto & H.Clinton

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
876
923
Leo asubuhi zilitapakaa habari kuwa Zitto amealikwa katika mkutano, Marekani na mgombea urais H. Clinton. Mimi binafsi nikawa na vijiswali, ZZK ana uhusiano gani na mgombea huyo au chama chake hadi aalikwe katika mkutano huo? Kwanini wengine hawajaalikwa?

Wakuu mnitoe uvulivuli.
 
Hivi DNC imemwalika Zito au chama chake na hicho chama ndio kikampa Zito uwakilishi?. Hii Habari ya kualika vyama hufanywa na Democratic National Committee, na wala si mgombea!. Labda kama mnatafuta kiki humu!.
 
Clinton hajaalika mtu bali chama ndio kimetowa mualiko, hata Maalim Seifu amealikwa pia.
 
Clinton hamjui ZZK na hatapata hata muda wa kumjua, Chama chake kinatoa mialiko kwa vyama vingi duniani kuhudhiria na mualiko ulipowafikia ACT wakampa mkuu wa chama huo mualiko aende, anaowajua Clinton watapewa nafasi kuzungumza ila kwa Maalimu na Zito ukiwaona zima tv yako, hata mimi nimepata mualiko wa kwenda huko.
 
Mmefunguka vizuri wakuu! Swali limejifilisi. Nasubiri feedback.
 
Leo asubuhi zilitapakaa habari kuwa Zitto amealikwa katika mkutano, Marekani na mgombea urais H. Clinton. Mimi binafsi nikawa na vijiswali, ZZK ana uhusiano gani na mgombea huyo au chama chake hadi aalikwe katika mkutano huo? Kwanini wengine hawajaalikwa?

Wakuu mnitoe uvulivuli.
.Hilary Clinton alikuwa Tanzania Zitto hata sura yake hakuonekana hata kusalimiana naye!! Wanajipandisha chati tu kitapeli kuwatapeli watanzania.Uzuri wa Marekani wafuatiliaji wa Mambo Zitto ajitutumue tu kuwa kaalikwa na Clinton kuna siku ataenda kuomba Msaada kwao watambwambia You conman you come here to beg??? Pack and get out.
 
Hivi DNC imemwalika Zito au chama chake na hicho chama ndio kikampa Zito uwakilishi?. Hii Habari ya kualika vyama hufanywa na Democratic National Committee, na wala si mgombea!. Labda kama mnatafuta kiki humu!.
Kilichoalikwa ni chama, Zitto kama kawaida yake hua anayapenda hayo majukwa. Na pia nadhani ana mikakati ya kutaka kuwapatanisha Maalim na Rafiki yake mpendwa Professor Lipumba, ili wajenge mikakati ya kuibana chadema na kuzidi kuipaisha ACT. Huyu kijana ubongo wake haulali.
 
Back
Top Bottom