The reason Gaddafi was ousted..he intended to withdraw all of the Libyan oil billions from Europe

Mkuu, usiweke udini, chambua hoja kisha ijibu. Kwani waliomuua Gaddafi ni wazungu au walibya wenyewe?

Waliomkata al islam kidole cha mkono wake ni wamarekani?

Na wanaoendelea kupigana pale kudai uhuru wa kisiasa, ni wazungu?
Ni hao jamaa zako wazungu ndio walioplani yote hayo na kuyatimiza,ina maana wakati ndege za hao wazungu wanaipiga Libya na wakati wanapiga kwa mabomu msafara wa Gadafi wewe ulikua bado hujazaliwa na ndio maana hujui?
 
Mkuu, usiweke udini, chambua hoja kisha ijibu. Kwani waliomuua Gaddafi ni wazungu au walibya wenyewe?

Waliomkata al islam kidole cha mkono wake ni wamarekani?

Na wanaoendelea kupigana pale kudai uhuru wa kisiasa, ni wazungu?
Kama sio Air and Naval Attack za USA Nato na France unadhani wangaliweza hao unaowaita wa Libya kumpiga na kumuua Gadafi?

Nchi iliyobarikiwa urithi wa mali na Gaddafi aliweza kuyakuza maisha ya raia wake:
1) Elimu - kuanzia watotot umri 15 years kwenda juu 91% Wanajuwa kusoma na kuandika
2) Mortality rate 3.7: 100,000
3) 96.6% Sanitation infrastructure Urban & Rural
4) Improved water sources 54.4%.*Urban and Rural
Nchi iliyoweka rekodi ya guiness ya kuwa na miundo mbinu ya umwagiliaji mikubwa kuliko yote Duniani

Na mengineo.
Kama ni udikteta na uhuru wa kutoa maoni unabanawa hilo MCC wanajuwa nani wengineo
Mkuu, usiweke udini, chambua hoja kisha ijibu. Kwani waliomuua Gaddafi ni wazungu au walibya wenyewe?

Waliomkata al islam kidole cha mkono wake ni wamarekani?

Na wanaoendelea kupigana pale kudai uhuru wa kisiasa, ni wazungu?
Kama sio Air and Naval Attack za USA Nato na France unadhani wangaliweza hao unaowaita wa Libya kumpiga na kumuua Gadafi?

Sent from my HTC Desire 820s dual sim using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom