The Real Politicians are not Really Politicians

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,429
Juzi,katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Israel,alikuwepo mwanasiasa mmoja,naye mgombea uchaguzi,alipoulizwa kwa nini ameamua kujitosa katika uchaguzi,alisema kwa sababu,"the real politicians are not really politicians''. And this is applicable to our situation now.

Wanasiasa wengi ni wababaishaji,wengi,siyo wote. Sasa hivi kuna Financial Crisis. Wanatuambia kwamba they have the situation under control,they have a stimulus package,lakini,the world is sinking deeper and deeper into recession. Wanasema tu katika majukwaa kwamba watu wasiwe na mashaka. Lakini wakiwa peke yao,wanasema''hiki ni kiama,tutafanyaje?''

Mambo mengi ya ufisadi yanatokea na Mkuu wa nchi mara nyingi inabidi avumlie,anashindwa kuyazuia,kwa sababu hajui afanye nini hasa. Hapa Tanzania,tumekuwa tunasikia mafisadi watakamatwa,lakini hakuna lolote linalotokea. Ni mambo ambayo yanawakera wananchi lakini Kiongozi wetu anashindwa kuyazuia.

Na Marekani pia,kwani ile Finacnial Crisis ilianza vipi. Watu walikopa hela za kununua nyumba za kuishi. Halafu wakashindwa kuyalipa madeni. Wale waliowakopesha,wakayauza yale madeni. Lakini wale waliouziwa yale madeni,wakagundua kwamba wametapeliwa,kwa sababu yale madeni yalikuwa hayalipiki. Sasa,it depends on how you look at this.

Either unaweza kusema kwamba,wale Regulators,ambao kazi yao ilikuwa kuhakikisha kwamba watu hawakopeshwi madeni unreasonable,hawa watu walisahau kutimiza wajibu wao. Au unaweza kusema,kama ninavyosema mimi,kwamba wale ni mafisadi,watu ambao hawaiogopi Serikali,in this case Serikali ya George W. Bush,na wameiba hela.

Fikiria,juzi,Rais Obama alikuwa anasema,"Haya Mabenki,yamefilisika,wamekuja hapa,hat in hand,kwa unyenyekevu mkubwa kuomba hela,tumewapa hela,sasa tumesikia wamejilipa mishara mikubwa. Sasa,mimi,nitafanya Udikteta,natoa amri kwamba hao watu,ni marufuku kujilipa zaidi ya dola 500,000 kwa mwaka".

Lakini Rais wa Marekani,read this carefully,analipwa dola 400,000 kwa mwaka. Kwa hiyo hawa ma CEO aliowabana bado wanalipwa hela nyingi kuliko Rais wa Marekani. Ina maana,Rais maskini anajitahidi kuwaamrisha hawa watu matajiri,ndio maana anashindwa.

Huu ndio ufisadi Dunia nzima. Sasa wao ni matajiri,na hawaamini kwamba dhiki ikitokea itawafika wao,kwa vile wao wana hela za kutosha. Lakini we will not let them enjoy while we suffer,hawa akina Rockefeller na Rothchild.

Kwa kifupi,hawa viongozi wetu wanasema wanayo njia ya kutuondoa katika matatizo haya,lakini actually,they do not have the faintest idea. Mikutano yote kuanzia G8 mpaka mkutano wa AU,inakwisha bila viongozi kuafikiana kitu chochote,isipokuwa tu wanaunda task force kuchunguza mambo waliyoyajadili.

Sasa,what we have to do,we have to be alert,we have to keep abreast of everything that is happenning,we must not allow ourselves to be overwhelmed with National or World events. That is how we can save the situation,and also be of assistance to the leaders.
 
Prof. Issa Gulam-Hussein Shivji aliwahi kusema, 'There are serious politicians who like politics but do not play politics. The so called politicians, actually they don't like politics but they need power, so they play politics to gain power'.
 
"the real politicians are not really politicians''. And this is applicable to our situation now.

Wanasiasa wengi ni wababaishaji,wengi,siyo wote.
Mambo mengi ya ufisadi yanatokea na Mkuu wa nchi mara nyingi inabidi avumlie,anashindwa kuyazuia,kwa sababu hajui afanye nini hasa. Hapa Tanzania,tumekuwa tunasikia mafisadi watakamatwa,lakini hakuna lolote linalotokea. Ni mambo ambayo yanawakera wananchi lakini Kiongozi wetu anashindwa kuyazuia.
Mkuu Andrew, jee miongoni mwa hawa wanasiasa wengi wababaishaji, walioko CCM pia wamo?,
Umetaja mambo ya ufisadi na kumtaja kiongozi wetu anashindwa kutazuia, jee ni kiongozi wetu yupi huyu unayemzumgumzia?,

Kitendo cha kushindwa kufanya jambo fulani kinaitwa nini kwa lugha ya kawaida?!.
Pasco.
 
Mkuu Andrew, jee miongoni mwa hawa wanasiasa wengi wababaishaji, walioko CCM pia wamo?,
Umetaja mambo ya ufisadi na kumtaja kiongozi wetu anashindwa kutazuia, jee ni kiongozi wetu yupi huyu unayemzumgumzia?,

Kitendo cha kushindwa kufanya jambo fulani kinaitwa nini kwa lugha ya kawaida?!.
Pasco.
bora umemuuliza mkuu, niwekee nafasi kwenye ile ndege yetu mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom