Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
.....tatizo la nchi hii ni kwamba hatuna mfumo madhubuti wa kutupatia rais inteligent kama nchi za magharibi zinavyofanya, sisi imekuwa tu huyu ni mwenzetu, mpole, kijana, chaguo la Mungu ama unaweza vipi fitina ndani na nje ya chama chako,, huu ndio msingi wa tatizo, tunatoa marais wenye uwezo mdogo (sio wote) kufikiri na kupambanua mambo, wanatoa majibu mepesi kwa maswali magumu, hapa sikuachi bila mfano.....Mkuu wa kaya anaulizwa kuhusu matatizo ya umeme na maji Mtera anajibu "Ningekuwa mvua ningenyesha nijaze mabwawa"......watu wakichambua huwezi kusema amedhalilishwa hapa ila ni kinyume chake. Halafu sio lazima kupost unaweza ukabaki kusoma post za wenzio hoja za namna hii zisizokuwa na mashiko msituletee.
Ongezea na hii alipotudhalilisha watanzania kwa kusema hajui kwanini watanzania ni masikini! Kama Rais ni kiongozi wa nchi hajui umasikini wetu anafanya nini Ikulu?