Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 753
- 182
Rais wa Jamhuri yetu ni mwakilishi wetu na kioo chetu nje ya nchi. popote anapokuwa nje ya nchi maana yake kuna watanzania milioni 40 nyuma yake. Si vizuri hata kidogo kunyamaza kimya pale Rais wetu anapofedheheshwa nje ya mipaka yetu. Ni lazima tusimame pamoja kumlinda bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kielimu. Hata kama ni mbovu bado haitoi haki kwa mtu yeyote nje ya mipaka kumdhalilisha ilhali tukiangalia bila kuchukua hatua.
NAWASILISHA Kwa maandalizi ya mpango mkakati wa kumlinda JK!!
NAWASILISHA Kwa maandalizi ya mpango mkakati wa kumlinda JK!!