The Power of Second Chances.............

Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!

Taratibu King'asti,

Ukienda moto chini namna hiyo utaua watoto/wajukuu

Babu DC!!
 
Mjukuu anaomba ruhusa kulia kwenye sefuria ama chungu kabisaa!

Hahahahahahah,

Unajua nini King'asti,

Hakuna kitu kinatia huruma kama mtu kumwona mwenzake lofa......Ndo inafikia mahali jamaa anakuja na mizigo yake na kukuomba atandikiwe kitanda vizuri halafu mdau ahamie guest room...kama ni uswahilini basi inabidi ampige exile aende kwa shoga yake....Kesho asiwahi kuwasumbua ila akumbuke kufua kila kitu!!...Khaaaaaaaaaaaa, hii dunia hii, anaijue aliyeiumba!!

Babu DC!!
 
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...
 
mate... hapa nimechoka kabisa..... ngoja tuangalie hawa akina NGUYEN kama wana lolote la ku-offer.....:rant:

Timor Mashariki hakumfai? Naona huku kimeumana mazima. Inakuwa kama habari ya mke wa Lutu na jiwe la chumvi asee....
 
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...

Siyo risasi tu RussianRoulette,

Hata bunduki umempatia ya kwako mwenyewe......!!

Babu DC!!
 
Wapendwa nawaamkua.

Nimekaa hapa mwenyewe na konyagi zangu kichwani nikajikuta najiuliza what is the power of second chances?...........Umemkuta au gundua mwenzi wako anacheat na akakiri but akabembeleza na kuomba msahau yalopita muanze upya........unaamua kumpa nafasi nyingine ya kuprove trust yake....................

Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??

Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahah aha
Karibuni waungwana

....Mpe tu second chance hakuna ubaya na pia ukumbuke kwamba binadamu hatuko perfect...ali mradi amekuomba samahani kwa kosa alilolitenda na samahani hiyo ukaikubali bila shingo upande basi kumsamehe ni jambo jema...vinginevyo unaweza kuruka....... ukakanyaga..... :):)....kwani shemeji weye hujawahi kusamehewa kwa (ma)kosa yako/lako!?

Vaislay

Last edited by a moderator:
Wapendwa nawaamkua.

Nimekaa hapa mwenyewe na konyagi zangu kichwani nikajikuta najiuliza what is the power of second chances?...........Umemkuta au gundua mwenzi wako anacheat na akakiri but akabembeleza na kuomba msahau yalopita muanze upya........unaamua kumpa nafasi nyingine ya kuprove trust yake....................

Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??

Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahahaha
Karibuni waungwana

MwanajamiiOne, mpaka umempa nafasi ya kupangisha mawazoni mwako, ujue ana deserve a 2nd chance.

Am 100% behind you. Go for it....it is for ur happiness ;)
 
Last edited by a moderator:
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...

... RussianRoulette wajua nilishaanza pata ahueni kwenye tasnia hii ya mapenzi na kupenda tena, ila hii post yako umeni derail upyaa...

I find it v.difficult trusting LOVE again sababu ya kupeana hizo "2nd" chances kisha unakuwa hit na "2nd" bullets again and again....

Potelea mbali, ....am safe in my own shell for the rest of mylife....to hell with Love.
 
Last edited by a moderator:
Aisee.... kweli out of sight, out of mind!!

Wewe unayo kesi na mie

Jamani wapenzi is kwamba nbimewapuuza nyagi ndo nimeizimua saa hizi na nyagi nyenzie. Nakuja kuwajibu

Hahah King'asti na Asprin mmeniacha hoi kwa kicheko nahisi ningekuwa karibu yenu mngening'oa hii lace wig ya Marehemu Whitney nloibandika kha!
 
MwanajamiiOne, mpaka umempa nafasi ya kupangisha mawazoni mwako, ujue ana deserve a 2nd chance.

Am 100% behind you. Go for it....it is for ur happiness ;)

Asa unaitumia thread yangu kujipigia debe?! Nani mwingine ataedeserve my second chance katika dunia hii ya mapenzi kama is wewe Mbu? Hapa nawaza yale ya what if ujue!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom