The Power of Letting Go....

muache taratibu co umeona dalili tuunakurupuka na msg za kibuti itakucost mana anaweza kukwambia mi mwenyewe nilikua natafuta hiyo nafasi nipumue afadhar umenirahishia....hahahaaaaaa dah. cha kufanya punguza mawasiliano nae taratibu hadi badae moyo unakua ushamtoa huyo mtu. ndo mana hata walevi na wavuta unga akiacha ghafla anaweza kupoteza maisha so mapenz nayoni km kilevi.
 
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.

Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'

thank you sir
 
muache taratibu co umeona dalili tuunakurupuka na msg za kibuti itakucost mana anaweza kukwambia mi mwenyewe nilikua natafuta hiyo nafasi nipumue afadhar umenirahishia....hahahaaaaaa dah. cha kufanya punguza mawasiliano nae taratibu hadi badae moyo unakua ushamtoa huyo mtu. ndo mana hata walevi na wavuta unga akiacha ghafla anaweza kupoteza maisha so mapenz nayoni km kilevi.

umesema hakika.
 
Kutokana na uongo mwingi na mifano mingi mioyo imeishakuwa sugu so ikitokea unakusanya kilichochako unaanza upya kwani kuanza moja si ujinga. Nimejifunza through experience kuwa kama mwenza wako kabadilika nawe unajidai bingwa wa mapenzi ya kihindi kama amitha batchan ujue huko mbele kijasho kitakutoka! nimeisha acha na kuachwa pia ila walioniacha hushangazwa na respond wangu. The essence of courage is not that your heart should not quake but no body should know it does. So hujitahidi kutoonyesha kuwa hujaumia but ndani ni lazima uumie kwani mapenzi ni kidonda kisichoonekana.
 
Kuna binti mmoja alikuwa hovyo sana kwangu, kama kuna kizuri kutoka kwake labda 1% out of 100%. Lakini nikapunguza hasira na kuiangalia hiyo 1%, nikaithamini hiyo na kumnunulia zawadi pamoja na card imeandikwa "Thank you so much".

Nilimwita (alijua kabisa kitakachotokea kwa sababu nilimwarifu) nikamnunulia lunch na baada ya kula nikamkabidhi zawadi. Yamekwisha

Imekaa kitamthiria sana can't say gayish but something like that.Card?
 
The art of letting go and how to learn to let go!
Hichi kitu kama kilivyo huwezi kukifanya out of the blue yaani siku unaempenda akuache afu ndo uanze kujifunza kumuacha aende,kiukweli hapo ni pagumu very failure itakachokuponya labda mda jinsi unavyoenda.meantime utataabika sana coz u didnt learn how to let go in the first place!
Cha kuzingatia ili mahusiano yasikucost at consequences weka uncertanity kwa huyo ulienae ht km uko rojorojo kwake.
jiwekee nafasi kwmba ipo siku ataniacha yaani click autopilot standby ndo utaweza let go when time is up
 
Its very hard but its the wisest thing to do when some thngz dnt work out. Huwa inapunguza maumivu kiasi if both of you understand that even though mnapendana lakini mnalazimika kuachana.kila mmoja akiwa na busara na kuyatafakari mambo kwa kutumia akili na sio moyo,then u will let go without any hatred, anger or any sort of enemity.mtakuwa marafiki wazuri tu bt thats only possible through understanding.
Hiyo naiita good break up. No uadui wala visasi, wote mnakubaliana kuwa it has to happen kwa faida ya wote.

Kinacho waumiza watu ni bad break up. Yaan out of the blue mwenzi wako anaamua tu muachane, hakuna sababu ,hakuna hint yoyote, just cold ?

Maumiv ni pale unajarib kujua whats wrong lakin hataki kukwambia, mwingine kwa kibur anakwambia nimeamua tu.
 
Hiyo naiita good break up. No uadui wala visasi, wote mnakubaliana kuwa it has to happen kwa faida ya wote.

Kinacho waumiza watu ni bad break up. Yaan out of the blue mwenzi wako anaamua tu muachane, hakuna sababu ,hakuna hint yoyote, just cold ?

Maumiv ni pale unajarib kujua whats wrong lakin hataki kukwambia, mwingine kwa kibur anakwambia nimeamua tu.


Haya majibu ya nimeamua tu huwa hayana mashiko. Kama mambo hayaendi mnaachana kwa amani tu no drama!
 
Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.

Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.

Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.
Katungeeeeee
 
Natamani sana nipate hii power of letting go !! Tatizo ameanza kuniingia moyoni nimeanza kumpenda kweri kweri!!
 
Wapendwa,

Ni matumaini yangu kuwa mu wazima na mnaelea kwa raha kwenye bustani zenu za mapenzi. Napenda kuwapongeza sana wanaowapenda (Wapenzi wenu) na ninyi mnaopendwa kwani kwa pamoja mna-make the world a better and colouful place to live! Bravo.

Weekend hii nimekuwa nikitathmini mahusiano yetu kwa ujumla. Nikajikuta nagongana na hii ya power of letting go!! Ni mara nyingi tumekuwa/au kushuhudia wenzetu wakifika mwisho wa mahusiano au mahali ambapo inawabidi kuachana na wenzi wao wengine ilhali bado wanawapenda lakini tu inabidi.

Katika kuwaza na kuperuzi nikakutana na hii ilim isemayo; Ili kuelewa power of letting go, kwanza hatuna budi kuyaelewa mahusiano yetu ambayo ni mitihani kamili ya kutufunulia undani wa nafsi zetu.... They are the true test of who we are because it is the ultimate test of our self-respect!! mh!!.....................

NDIYO nimeguna kwa sababu hapo ndipo kwenye shina lenyewe ambalo bahati mbaya wengi wetu hujikuta (pengine sababu ya shock - hatukutegemea kuwa iko siku tutafikia ukingoni; au ukingoni kumekuja ghafla kuliko tulivyotegemea) wengi wetu tumejikuta tukijishusha na kubembeleza tusiachwe pamoja na kuwa kuna kila dalili kuwa mapenzi yamefikia tamati. Wengi wetu tumejikuta tukijidhalilisha/dhalilishwa kwa sababu tu ya kumng'ang'ania mpenzi aendeleee kukupenda wakati twajua kuwa hata akikubali basi it wont be OUT of LOVE bali OUT of PITY!

Tunasahau kuwa kwenye mahusiano yoyote kuwa wakweli (honesty) and being true kwa nafsi zetu ni MUHIMU ZAIDI ya survival ya mahusiano hayo ambayo unajitahidi kuya-boost. Sisemikuwa wote tunashindwa; wapo wengi tu wanaoweza-handle this situation na wengine wenye mbinu za kulet it go without having anger and resentlments! Kulet-go bila kuwa na hasira na kinyongo.

Please can we share? How to let it GO bila hacra wala kinyongo and to be appreciative for having that person in your life coz s/he must have brought some shades of happiness sometimes when you were together.
Yaani kwanza ujue hates, MTU anakuchukua kwanza, Kwa nn Kwa sababu I gave you love and you bring drama. Mwanamke wa aina hii kwanza unamla tigo. Ukiona Nina taka tigo ujue you re stupid on earth.
Na nimekuona kummer ya watu wote waitie. Na nikijua unatombwer na Mimi natamani nikutombe na hisia ni kali sana mbo.oo inakuwa juu.

Mwanaume ameshaKuona sio kabisa. Na nikifanikiwa kukutomber mkuu.nduoil nita relax Kwa sabb najua I have gone miles for this stupid monster. Men don't have the power fu.cking letting it go
 
Back
Top Bottom