The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

nikipata nafasi nitakutumia video.......ina 1.6gb....... Usipoelewa na kuogopa basi tena.......we nielekeze nikutumie kwa njia gani.......

ni bora ungefanya mchakato wa kuibwaga tu hapa jamvini coz uhitaji wa watu juu ya hiyo kitu ni mkubwa na then utakuwa umesaidia kujibu swali husika
 
Nadhan iyo video itakua poa sana, na wengi wataitaji kuuona pia,, so either ui uplod directly hapa au uiuplod youtube alafu utuwekee link ili kila atakaeeitaj akaichukue pale, coz cdhan kama kwa yahoi au gmail unaweza jutuma 1.6 GB, au unaonaje Preta?
 
Last edited by a moderator:

kwa hapa JF ni kweli kuweka 1.6GB haitawezekana...... Fabian the Jr.......ngoja niangalie ni website gani ili niwaelekeze au niitume kidogo kidogo........very interesting.....ila nadhani ukifuatilia sana mtu unaweza kuwehuka.....vitu vinatisha......sasa nimeelewa vizuri sababu ya vita kati ya Wamarekani/Israel...kwa Waarabu.......

Last edited by a moderator:
Nikipata nafasi nitakutumia video.......ina 1.6gb....... Usipoelewa na kuogopa basi tena.......we nielekeze nikutumie kwa njia gani.......

preta unaonaje kama ukitupia youtube alafu utupatie link hapa......
 
Nikipata nafasi nitakutumia video.......ina 1.6gb....... Usipoelewa na kuogopa basi tena.......we nielekeze nikutumie kwa njia gani.......

Ni ile wanayomuongelea Jz au nyingine mkuu?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Vionjo vilivyopo......

Last edited by a moderator:
New world order has something to do with christianity,a group of people with their own agenda are trying to use writings in bible to try to control events in the world to make their agenda come true,and the agenda is to create a ONE WORLD GOVERNMENT.
 
Back
Top Bottom