Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,001
- 112,646
wekeni na mapicha wakuu.....hiki kimvua nashndwa kuamka......
Pole kwa kuishi majuu kupitia runinga!
Kesho mi natinga highlight factory kuangalia Hawks vs. Magic kwa macho yangu mwenyewe live bila ya chenga. Wewe endelea tu kukosa usingizi.