Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Hawa Viongozi wa Nchi si huwa wanakuwa ni Chaguo la Mungu; sasa mimi naona kama Mungu katuchagulia ni bora tukubali yaishe.
Kwani na wamarekani nao wameshatangaza kuwa viongozi wao ni chaguo la Mungu?