oya wazee ni wambieni kitu bado unaweza pata unlimited internet ya TIgo kwa shilingi 450 kwa siku mbili.
chukua line ya tigo iweke vocha tuma neno light day kwenda 15166 uta pata unlimited ya simu lakini instead ya kuweka line kwenye simu weka kwenye moderm .kula unlimited for two days.nimemaliza mwezi nkifanya hivyo mimi binafsi[:dance:/COLOR]
TTCL Modem ndo mpango mzima..hawa wangine wanarukaruka mb 400 itasaidia nini! labda kama unatumia simu kusurf.
jee inawezekana kutumia modem ya zantel kutumia internet ya airtel. ? ikiwa inawezekana njia ni ipi? please somebody help
jee inawezekana kutumia modem ya zantel kutumia internet ya airtel. ? ikiwa inawezekana njia ni ipi? please somebody help
customer care staff wengi wanauza nyago badala ya product