The New Libya...

U.S., France say no need for new Libya probe

Russia failed to persuade the U.N. Security Council on Thursday to demand an investigation into reports that dozens of civilians may have been killed by NATO air strikes during Libya's civil war, U.N. envoys said.

Russian U.N. Ambassador Vitaly Churkin told reporters after a closed-door meeting of the 15-nation Security Council that there was no consensus on his request.

Reuters reported last week that Human Rights Watch and another group estimated that over 50 civilians may have been killed by NATO air strikes during the alliance's eight-month military operation, according to their investigations.

Zaidi hapa Russian bid for Libya probe fails at UN | News by Country | Reuters
 
I don't know if there any possibility of black people to develop in the existance of White people commiting the same thing to black, I don't know how NATO, focus on our continent, even IMF and WB, may be they are taking us as the place of taking raw material that's why they alredy to kill any one for their benefit and to sunction any one so as to accomplish their demand " WAKE UP AFRICA, EUROPEAN THEIR NOT OUR TRUE FRIEND"
 
U.S., France say no need for new Libya probe

Russia failed to persuade the U.N. Security Council on Thursday to demand an investigation into reports that dozens of civilians may have been killed by NATO air strikes during Libya's civil war, U.N. envoys said.

Russian U.N. Ambassador Vitaly Churkin told reporters after a closed-door meeting of the 15-nation Security Council that there was no consensus on his request.

Reuters reported last week that Human Rights Watch and another group estimated that over 50 civilians may have been killed by NATO air strikes during the alliance's eight-month military operation, according to their investigations.

Zaidi hapa Russian bid for Libya probe fails at UN | News by Country | Reuters
Warusi si wanaminywa na wao mambo yao ya uchaguzi?

Ndo michezo yao hiyo, kuwategemea hawa watu ni noumer!
 
over fifty people? Sorry 'human' rights watch, that is stupid! Tell us something informed. Even in Iraq so far more that 50 people have died. It is like saying more than two Tanzanians have dies of hunger...it says nothing!
 



By EDITH M. LEDERER Associated Press
UNITED NATIONS December 23, 2011 (AP)


Russia urged the U.N. Security Council on Thursday to investigate civilian deaths in Libya from NATO's bombing campaign, a move the United States immediately dismissed as "a cheap stunt" to distract from Moscow's failure to condemn the Syrian government's ongoing killing of protesters.The sharp exchange reflected the deep division in the council over the NATO campaign which the U.S., France, Germany and others hailed for saving hundreds of thousands of Libyan lives, but which Russia, China and the African Union have strongly criticized.Russia and its supporters argue that NATO misused the limited council resolution imposing a no-fly zone and authorizing the protection of civilians as a pretext to promote regime change in Libya. Libya's longtime dictator Moammar Gadhafi was ousted after 42 years, captured and killed in October.Russia's U.N. Ambassador Vitaly Churkin said a council-mandated investigation is essential "given the fact that initially we were led to believe by NATO leaders there are zero civilian casualties of their bombing campaign."U.S. Ambassador Susan Rice, who stepped to the microphone after Churkin, said: "Oh, the bombast and bogus claims.""Is everyone sufficiently distracted from Syria now and the killing that is happening before our very eyes?" she said.......


Details>>>>>Russia and US Clash Over NATO Bombing Probe - ABC News


KWA NINI HAWATAKI(US+NATO) kufanyike uchunguzi huru juu ya 'tuhuma' hizi ?

 
But their message was serious.

"If you don't have dinars, give us dollars!" they sang this week. "Where's our share?!" cried a voice from the throng.

The protesters were mainly from the Libyan capital, some of them students who said they had swapped their books for guns and joined the fight against Muammar Gaddafi.

More than two months after his capture and killing, they want their reward.

"We're not asking for money, we're asking for a chance to work," said Anis Bashir, who described himself as a unit commander from the Libyan capital.

zaidi hapa New Libyan leaders juggle demands, grievances | News by Country | Reuters
 
Libya bila Gaddafi itatawalika?
ban.blank.jpg


Khadija Kalili​

SHIRIKA la kusimamia haki za binadamu la ‘Amnesty International' limelitaka Baraza la Mpito Libya (NTC) kuchukua hatua za haraka kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na waliokuwa wanajeshi wa marehemu Kanali Muammar Gaddafi aliyeondolewa madarakani.
Katika ripoti yake iliyotoka hivi karibuni, yenye kichwa cha habari ‘Vita ya Libya, mauaji na ukatili,' ripoti hiyo inatanabaisha kwamba vikosi vya ukombozi vimekuwa vikihusishwa na mauaji na ukatili dhidi ya binadamu.
Mauaji haya yanajumuisha mashambulizi dhidi ya raia, kampeni ya kushambulia nyumba kwa nyumba na ukiukwaji uliokithiri wa haki za binadamu.
Ripoti hiyo haikuishia hapo bali iliwanyoshea kidole hata wachache waliobaki na wanaoendelea kumuunga mkono Gaddafi (marehemu) linajihusisha na ukatili dhidi ya raia wasiokuwa na hatia.
Iliripotiwa hivi karibuni vikosi hivyo viliendesha ukatili dhidi ya raia wa Libya wenye rangi nyeusi.
"Vikosi vya baraza la mpito vinajihusisha na ubakaji, kuweka watu kizuizini bila hatia, kuwanyanyasa na kuwaua wanaohisiwa walikuwa askari wa Gaddafi ikiwa ni pamoja na kuwateka vijana wadogo na kuwaingiza vitani na raia wengine wageni kwa kuwahisi ni wafuasi wa Kanali Gaddafi," inasema sehemu ya ripoti hiyo.
Raia weusi wanaelezwa kulengwa zaidi na kampeni inayoendeshwa na vikosi vya ukombozi kwa kuhisiwa ni wanajeshi waliokuwa wa kukodi na kuwaua na kuwatesa raia wengine.
Wakiwa wanajiandaa kutoa hali halisi ya kile kinachoendelea Libya, Uongozi wa Amnesty umesema kwamba tayari umeshawasilisha ombi la kulitaka baraza la mpito la Libya kudhibiti ukatili na ubaguzi wa rangi unaoendelea kufanywa na askari wake pamoja na wale waliokuwa wakimuunga mkono Gaddafi.
"Baraza la mpito linapambana na wakati mgumu katika kupambana na askari watiifu wa Gaddafi na wafuasi wengine wanaomuunga mkono na kusababisha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, na inavyoonekana limeshindwa kudhibiti hali hiyo."
Mohammed al-Alagi, waziri wa sheria wa baraza la mpito nchini Libya, anasema vitendo vinavyofanywa na wafuasi wa Gaddafi visichukuliwe kama ni wahalifu wa kivita.
"Wale sio wanajeshi, ni watu wa kawaida kabisa," alinukuliwa Mohammed al-Alagi alipozungumza na Shirika la Habari la Associated Press hivi karibuni.
Anasema unaweza kuwaita waasi na wanafanya makosa, lakini bado hawajafikia kiwango cha kuitwa "wahalifu wa kivita hata kidogo."
Amani ya Libya hivi sasa iko shakani baada ya Gaddafi kuondoka, na hili tayari Amnesty wameshaliona. Je, Libya itakuwa na amani kama ilivyokuwa wakati wa Gaddafi?

Nikiiangalia Iraq ya marehemu Saddam Hussein ninapata picha ya inakoelekea Libya bila Gaddafi.

Gaddafi alikuwa na wafuasi wengi waliomtii na wanaoendelea kumtii hadi mwisho wa maisha yao.
Hawa ni wale walioneemeka na mfumo wa utawala wake, wakihakikishiwa makazi na mambo mengine ya msingi ya kimaisha.
Ni watu ambao walifaidika na neema nyingi katika Libya, neema ambazo pia zilizungumzwa na mashirika kadhaa ya kimataifa na kuitaja Libya kama mfano wa kuigwa duniani katika maendeleo ya kiuchumi.
Kundi hili katu halitomuunga mkono kiongozi mwingine atakayetawala hasa kwa kuwekewa mkono na nchi za Magharibi na kwao watamuona kama amepandikizwa au kibaraka.
Kinachotokea Iraq kwa watu kujilipua kwa mabomu huenda kikawa maradufu nchini Libya.
Saddam alitajwa kuua watu wengi wa jamii ya kikurdi na ushahidi ukawekwa hadharani, ushahidi wa mauaji yanayodaiwa kufanywa na Gaddafi bado haujawekwa hadharani, unaweza ukawepo au usiwepo na au ni chuki tu dhidi ya propaganda za chuki kutoka mataifa ya magharibi dhidi yake.

Kimantiki hili linaweza kuwapandisha hasira wafuasi wake waliobakia Libya iwapo kiongozi aliyopo atashindwa kuboresha maisha ya wananchi na uchumi kwa ujumla.

Wananchi wa Libya wanaweza kuunganisha nguvu dhidi yake, nguvu ambayo ilitumika na kumtoa Gaddafi madarakani, itamgeuka na kuwa kubwa zaidi baada ya kushindwa kuwafanyia yale waliyotarajia.

Hapa itaunganishwa nguvu ya wafuasi wa Gaddafi na wafuasi wa kiongozi huyo mpya waliokata tamaa, nguvu hizi zinaweza kuzua maafa makubwa kuliko tunayoyashuhudia nchini Iraq.

Gaddafi alichukiwa sana na nchi za Magharibi lakini Afrika itamkumbuka kwa mchango wake mkubwa aliowahi kuutoa barani humu.

Historia inatukumbusha kuwa Gaddafi alikuwa swahiba mkubwa wa rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

Mandela aliwahi kufanya ziara nchini Libya, wakati huo kukiwa na vikwazo vya kutokuruka kwa ndege katika anga la Libya. Ziara ambayo Rais wa wakati huo nchini Marekani, Bill Clinton aliipigia kelele sana.

Gaddafi alikuwa mstari wa mbele katika kuikomboa Afrika yote, akiasisi kuanzishwa kwa shirikisho la Afrika, ndoto ambazo majaaliwa yake baada ya kuondoka haijulikani nani ataziendeleza.

Gaddafi alikuwa mstari wa mbele kuzilipia michango ya kila mwaka ya Umoja wa Afrika (AU), nchi kadhaa barani Afrika lengo ni kuhakikisha kwamba umoja huo unakuwa wenye nguvu na imara, na kuwa mtetezi wa Bara la Afrika katika masuala mbalimbali kama ilivyo kwa Umoja wa Ulaya.

Bila kusahau michango ya kijamii aliyowahi kuitoa sehemu mbalimbali barani Afrika, wachambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati na Pembe ya Afrika wanaweka bayana kwamba Waziri Mkuu wa Baraza la Mpito nchini Libya, kwa wakati fulani aliwahi kufanya kazi na Gaddafi lakini walikuja kutofautiana baadaye na kutengana.
Si hivyo tu hata vikosi vilivyomuondoa madarakani navyo viliwahi kufanya kazi na Gaddafi. Pamoja na kwamba wamemuondoa madarakani kwa kushirikiana lakini wao pia siyo wamoja.
Haitakuwa sahihi kusema Gaddafi alifanya mambo mabaya tu. Alifanya na mazuri pia. Ni wajibu wa watawala wa sasa kuyaendeleza mazuri na kuyaacha mabaya.
(Tanzania Daima 29/12/2011)




 


Domokrasi in action.NTC aka Mwendawazimu kapewa rungu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom