Hawa watu bana, kweli kuwa naive ni noumer...They want Gaddaffi "dictatorship" back!!???
Tens of thousands of protesters gathered in the eastern Libyan city of Benghazi on Monday to show their frustration with leaders who came to power after Muammar Gaddafi was overthrown.
In the biggest demonstration in Benghazi since the revolt against Gaddafi started in the city, between 20,000 and 30,000 protesters filled the central Shajara square and nearby Abdel Nasser Street, a witness told Reuters.
Zaidi hapa Libyans protest in Benghazi against new leaders | News by Country | Reuters
Mungu ni wa rehema ndugu yangu ila kuna siku kipimo kitajaa na dunia itatikisika. Aliwapa wakanaani miaka 400+ ya kujirudi lakini hawakumrudia ndipo akaamuru waangamizwe wote. Watu hujaribu kumhukumu Mungu (shame on them) lakini Mungu ana haki. Iko siku hii empire ya uovu itahukumiwa.Kama Mungu yupo jamani si ajitokeze alisambaratishe lile genge la kishetani la Nato na wale wauaji wa Us?!!
Hata mimi hii Lugha inanipiga chenga.Huko nilikoiopoa wameandika wakazi wa Sirte wanailalamikia NTC kwa kuharibu makaazi yao na hakuna msaada wanaoupata kupunguza makali ya maisha. Welfare system imedondoshewa mabomu na US-NATO.Mkuu sijaelewa anachosema kwenye video lakini background pamoja na body language ni lazima wanailaani NATO, hata hivyo ukiangalia uharibifu waliofanya na wakati sababu ya kwenda ilikuwa kufanikisha a no fly zone, basi utaona there "some sort of injustices"