The National Council for Technical Education (NACTE) INAPOTEZA MUDA

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
kwanini baraza la vyuo vya ufundi nchini hawabadili mfumo wao? Yaani muda wa kuanza masomo hadi mwaka wa kumalizia. Mkwani vijana wengi hukaa bure mwaka mmoja nje wakingoja kujiinga na vyuo vikuu, tofauti na f6 ambao mwanafunzi akimaliza tu hupta fursa ya kujiunga na vyuo vikuu, yaani hawakai nje mwka mmoja
 
Mpaka leo waliopeleka application pale CBE dodoma na Dar hawajui nini hatma yao kwa degree mwaka huu.. Ukizingatia wamemaliza Diploma mwaka huu..
Kazi ipo..
 
hamuwajui tu, nacte wanafanya kazi nzuri sana kuliko mashirika mengi sana hapa tz na hizo ni changamoto tu. i am sure wanazifanyia kazi, tuwape muda. mi nawaamini sana kwa umakini wao
 
Judith kwangu me Nacte bdo ni wababaishaji tu, imeshindikana vp mtu anaemaliza Diploma kuendelea na degree mwaka huo huo?
 
Kwa kweli mimi bado sijaona matunda ya moja kwa moja ya NACTE...! Manake bado technical knowledge ambayo tunategemea vijana waipata naona ni ya nadharia sana...!
 
kwa utaratibu wa NACTE, ukimaliza hiyo diploma unatakiwa ukafanye kazi, sio umepata competences za technician? Kama ulikuwa na mpango wa kuunganisha ungekwenda form VI.
 
nyie mnadhani mitihani ya chuo inasahishwa kwa dakika tatu? angalieni dedlines za aplication and muda wanafunzi wanapomaliza diploma zao.
 
nyie mnadhani mitihani ya chuo inasahishwa kwa dakika tatu? angalieni dedlines za aplication and muda wanafunzi wanapomaliza diploma zao.

Acha Ujinga. Niambie ni kwa muda gani majibu ya Form VI yanatoka? Sasa uoni watu walioko FORM VI ni wengi kuliko walioko Chuo?
 
Back
Top Bottom