The most educated tribe

its very true Ngoswe,thats my tribe wengi wao wanajiita wangoni just because wanyasa ni wachache pande za kule,but kuna viongozi wengi tu walitokea huko,pia hawa jamaa wanasifa ya usafi sana hasa ukiwaona kwenye ngo'oma ya mganda wakiwa wamevaa kaptula nyeupe na sharti nyeupe na soksi,ALWAYS SMART MPAKA UP STEAZ

Bombiii nyumbii hiii Therengetitherengeti wane.
 
Abdulhalim you are so https://jamii.app/JFUserGuide'n educated but you got issues kweli vile. whats your problem money honestly kuanzia leo im on ya case

Ati?

Ni kweli sheikh Juma, nahitaji mafweza nikakunue kisiwa huko Carribean au Pacific. Thats all i need mazee, au ikishindikana sana hata ile faranga japo ya kununulia boti na yatch nifanye makazi hapa Dar..:D
 
its very true Ngoswe,thats my tribe wengi wao wanajiita wangoni just because wanyasa ni wachache pande za kule,but kuna viongozi wengi tu walitokea huko,pia hawa jamaa wanasifa ya usafi sana hasa ukiwaona kwenye ngo'oma ya mganda wakiwa wamevaa kaptula nyeupe na sharti nyeupe na soksi,ALWAYS SMART MPAKA UP STEAZ

ha hahaaaa... as if we dont know them na jinsi wasivyojenga kwao!!! anyway ni ukabila tu uleule
 
Naona wengi wenu mmekuwa na hisia zaa "ukabila" zaidi kuliko ambacho nilitaka nimaanisahe hapa.Labda kama tunatofautiana hisia na uelewa, kuataja, kusifia kabila fulani sidahni kama ni ukabila!.

Binafsi sitetei ukabila na pia kutokuwa mkabila haimanjisni sina kabila na kuwa taifa haina maana dhana ya kuwa wa kabila fulani inafutika vinginevyo tusingeongea lugha za makabila wala kujitambulisha asili zetu za kikoo, kitamaduni, mila na desturi za kule tutokako.

Ipo historia mzuri kabisa kuhusu "makabila ya kitanzania na mengine ya Afrika kwenye vitabu na kumbukumbu za kale kama vile kiatbu cha "Zamani Mpaka Siku hizi" . Katika maandhish hayo, unasoma kusifiwa au kukashfiwa kwa makabila fulani kutaoka na aina za utamaduni na maisha waliyoishi enzi hizo. Hata hivyo maandishi hayo, haya maanishi ukabila bali kuelezea hali halisi ya kabila husika. Tukisema kwa mfano wahaya wanapenda sana kuongea lugha ya kwao, hii haimannisha wahaya ni wakabila kwani wasipofanya hivyo, hawawezi kuitwa tena wahaya, kwani wanaitwa wahaya kutokana na hilo kabila.

Kwa mfano tukiseme kabila la Wahehe, Wanyamwezi na Wangoni ndiyo yenye msimamo mkali zaidi katika makabila yote Tanganyika kwa kurejea vita dhidi ya kutawaliwa na Mjerumani, haimaanishi kutaja makabila hayao ni ukabila, hii ni hali halisi kwa mujibu wa historia ya Makabila husika na ukweli huu hauwezi kufutikwa millele hata Taizania ikiwa nchi yenye kabila moja!.

Turudi kwenye mada na kuelewa mantiki, sina dhamira ya ukabila hapa bali ni kuangalia kama upo uwezekano wa kila kabila kutunza kumbukmbu zake katika kizazi hiki kama ilivyokuwa zamani na wote tumezikuta hizo histioria na ndizo zatufanya leo tujiite "sisi ni wakabila fulani" na tuliwa pamoja kama hap kwenye JF twasema sisi ni wataifa fulani (utaifa na ukabila ni sawa) . Makabila ni tofauti na ukabila, Makabila ndi yanajenga "Taifa"na badaae "Mataifa".
tatizo ni kichwa cha habari... kiko biased
 
tatizo ni kichwa cha habari... kiko biased

Kipo fair mzee,

Re: most educated tribe!!!! ...

Maelezo kwenye thread nzima yapo wazi kabisa!,si zungumzii "nationallly wala internationally" nadhani fikra za wwengi hapa ni kujaribu kutetea ukabila kwa kila mtu atokako thinking kwamba nimemaanisha most educted amongst all tribes, that I would have gone long and so wrong!...

Tikuwoni, yeooo muyemba , habari za kunyumba muyembaa. "Nshikii gari ni pandi Nyengo" ndi pali jogoo linapo wika Kokoliko!.....Zikomo kwa mbili!.
 
bombimbili?usengwile bambu!usengwile sana yani mwenzko tangu lichu nde ngandongi!nde nga ubwabwa
Kipo fair mzee,

Re: most educated tribe!!!! ...

Maelezo kwenye thread nzima yapo wazi kabisa!,si zungumzii "nationallly wala internationally" nadhani fikra za wwengi hapa ni kujaribu kutetea ukabila kwa kila mtu atokako thinking kwamba nimemaanisha most educted amongst all tribes, that I would have gone long and so wrong!...

Tikuwoni, yeooo muyemba , habari za kunyumba muyembaa. "Nshikii gari ni pandi Nyengo" ndi pali jogoo linapo wika Kokoliko!.....Zikomo kwa mbili!.
 
Culture in culture. Asante mkuu. Tuletee mganda wa wazaramo mkuu na Mdundiko.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=T0lsyoWjGco[/ame]

KULA vibwagizo nje ya Ukabila hapa:

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=qurWMR-vosI&NR=1[/ame]
 
Back
Top Bottom