Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Subiri wiki hii ndio mnaanza ligi maana game zote za mwanzo mlipangwa na vibonde
In Jermaine Defoe we Trust...
Usije kuwa bubu na kupotea
Ze Bluez for life!
Subiri wiki hii ndio mnaanza ligi maana game zote za mwanzo mlipangwa na vibonde
In Jermaine Defoe we Trust...
Hatututawaangusha
Hivi lini official utarudi MANU?
Hawa Man City wasipoingia top 4 timu lazima isambaratike mwisho wa msimu lol....
Hii si bure lazima kuna mkono wa ManUWanawatengenezea Man Utd mazingira ya kushinda Jmosi! Man Citey kateni rufaaa Adebayo acheze
MBU leo unashabikia timu gani kati ya MANU VS MANC?
Timu zote zilimchapa hizo (2-1 na 4-2) leo ameishatangaza yuko Tottenham!
Wee kibonde cha Burnley funga domo lako,tutakulamba vizuri tunao wanaume 11 watakaocheza na wanaume 5 tu wengine 6 ni zilipendwa.
Sisi ni wenye jiji na ndiyo timu pekee inayoweza kujiita ya aliwatan,hakuna njia ya kunusurika kipigo.Alex roho inadunda tick tock tick tock...kibano hichooo... goli 3 kwa 1 la penalty.Tukutane sunday.
Man U kesho lazima achezee kichapo kitakatifu na Tevez lazi apige bao.
He who laughs last must be a Manchester United fan....!! Buahahahahahahahahhaha