ha ha ha keep on dreaming.Man City ni club iliyoamua kubadilika ili kuchukua nafasi katika BIG 4 na kadri michezo ya ligi hii maarufu inavyozidi kuendelea kuchezwa ndivyo mamilionea vijana wanapozidi kuchanganya na kuwa timu kali.
Mashabiki wa Arsenal kaeni katika mkao wa kukung'utwa na timu hii kwani hata Man City ya mwaka jana iliwabandika goli 3 bila majibu.Sioni mtaepuka vipi kipigo wakati huu ambapo Adebarour,Tevez,Robinho,SWP wanataka kuonesha value yao ilivyo juu!Huko nyuma ndiyo usiseme tena England Center back Jolean Lescot,Back mzoefu Silvyinho,England international Gareth Barry na Goal Keeper makini Given....usiseme....ni timu balaa kabisa.Nawahurumia Arsenal tayari!
ha ha ha keep on dreaming.
ha ha ha keep on dreaming.
mfano wako wa ajabu sana na siwezi kubishana kwa kutumia hoja yako.wewe kama unaweza kuona kwenye record kwamba novermber ulimfunga arsenal goli 3 bila lakini unashindwa kuona kwamba april msimu huo huo arsenal alikufunga 2 bila? ndio maana na kwambia huna hoja na vizuri ukasubiri dakika 90 ziishe hapo sept 12 hili ujenge hoja upya.sasa hivi mie naona kama unajaribu kusukuma mda wa "international break" sio mbaya na wewe ukichukua mapumziko wakati huu si unaona threads za mpira zilivyokuwa slow.Kama ni kuwafunga Arsenal hii si kazi ngumu.Nimekupa mfano wa msimu wa ligi uliopita.Angalia record ya Arsenal na Man City.Sasa kama ile Man City ya awali iliweza kuwamimimia goli 3 nambie hiyo Jumamosi ijayo utabebeshwa mangapi?
ha ha ha mkuu bila wasi wasi siku itafika na ni siku ya bday yangu kwahio nategemea vijana watanipa zawadi ya point 3 bila wasi wasi.Ahh..Kiongozi tusiandikie mate..tuombeane uzima tu tushuhudie kati ya Arab money na falsafa za kibahili, ipi itazaa matunda?
Fingers crossed..
mshabiki wa arsenal ambaye ameama na adebayor anaweza kuwa mgonjwa wa akili na kuitaji daktari haraka sana.
ha ha ha mkuu bila wasi wasi siku itafika na ni siku ya bday yangu kwahio nategemea vijana watanipa zawadi ya point 3 bila wasi wasi.
klabu kubwa kushinda mchezaji na kunatofauti kubwa kati ya washabiki na "bandwagons".Mtu hufuata mapenzi yake yanapoelekea.Kama wameona ni bora wahamie Manchester City,wewe ni nani kuwahukumu hata kuwaambia hawana akili.Mimi naona wewe ndiye wa kupimwa akili.
Mimi ni shabiki wa Man City tangu zamani na sasa imeboreshwa ndiyo kabisaaa.na Na kwa taarifa yako nimeshaona goli 2 zinatinga Arsenal siku ya Jumamosi na kama unabisha subiri mwiho wa mechi.
kweli kabisa mkuu.yani sawa sawa uhame na ronaldo real madrid wakati ronaldo kakukuta wewe man united inawezekana kweli hio?Kuna mtu aliwahi kuniambia mshabiki wa kweli anaweza kubadirisha dini lakini sio timu anayoshabikia.
kweli kabisa mkuu.yani sawa sawa uhame na ronaldo real madrid wakati ronaldo kakukuta wewe man united inawezekana kweli hio?
ROBINHO has dismissed talk of a January move to Barcelona by revealing he is targeting a title charge with Manchester City.
The Champions League winners are reported to be weighing up a move for the £32.5million former Real Madrid favourite.
But Brazil ace Robinho, 25, admits he has been impressed by the business done by City boss Mark Hughes this summer.
He said: "The club have set their sights high this year and backed that up in the transfer market.
"We've built a stronger squad than last year and can handle any team.
"There have been great additions - now we need to understand we must be stronger mentally.
"We can be like that this season and have what it takes to go for the title.
"The more I think about it, the more I think this year must be our year."
Haya,Eastlands blues kuna matumaini makubwa ya kuchukua ubingwa kwani hata Robinho
kaamua kubaki badala ya kwenda Barca.Anajua anachokifanya maana ingekuwa mambo ya hivihivi tu angerukia offer ya Barca.