Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
tunaweza basi tu hakuna intention..Kuna mito yetu 4 mikubwa (kwa upande wa Kyela) inayomwaga maji yetu Ziwa Nyasa: Lufilyo, Mbaka, Kiwila na Songwe. Siyo rahisi kui-divert yote
tunaweza basi tu hakuna intention..Kuna mito yetu 4 mikubwa (kwa upande wa Kyela) inayomwaga maji yetu Ziwa Nyasa: Lufilyo, Mbaka, Kiwila na Songwe. Siyo rahisi kui-divert yote
Hii kitu ni kama imekula kwetu. Kumbe hata kwenye Hansard kitu kimetulia! Basi tena lake nyasa!
tusiwe wezi! wakati Nyerere anakabidhiwa nchi mipaka ilikuwa ni lake shore, yaani lake nyasa lilikuwa mali ya malawi. hakuna haja ya vita, tukubali ukweli. pia mkumbuke hili jeshi la akina shimbo na suma jkt, tukianzisha ugomvi na malawi zikanza kupigwa utawaona malawi nusu saa wako njombe.
published by The Journal of Modern African Studies
samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma
tusiwe wezi! wakati Nyerere anakabidhiwa nchi mipaka ilikuwa ni lake shore, yaani lake nyasa lilikuwa mali ya malawi. hakuna haja ya vita, tukubali ukweli. pia mkumbuke hili jeshi la akina shimbo na suma jkt, tukianzisha ugomvi na malawi zikanza kupigwa utawaona malawi nusu saa wako njombe.
Wasiwasi wangu ni jeshi la watoto wa wakubwa, katika hali za utata kama hizi, nafikiri kuna watu wanajutia kupata hiyo ajira.
Tuwe makini sana na mgogoro huu ushabiki hautakiwa bali kuutafuta ukweli na kuusaka ukweli ili kuishauri vema nchi yetu...... vita sio jambo jema.
hiyo artical inaonyesha kuwa tumeliwa.
Inategemea unamaanisha nini, prior to Berlin Conference, kulikuwa na Portuguese Nyasaland ambayo ilitokana na Yaoland. Portuguese Nyasaland ikaja kuwa Mocambique na ilijumlisha karibu 1/3 ya Malawi kabla mzungu mwingine hajafika Malawi.Malawi haijawahi tawaliwa na Mreno
Walibadilisha 1914.Waingereza walibadilisha mpaka lini? Mbona naona ramani za Wajerumani za kabla ya WW1 mpaka uko pwani ya ziwa upande wa German East Afrika then?
Kuna ramani official za Wajerumani as early as the late 1890s and 1906.
OAU ilisemaje kuhusu mipaka ya kikoloni kuheshimiwa?
Kati ya tamko la OAU mipaka ya kikoloni kuheshimiwa, na ile "rule" ya kutaka mpaka usipitie pwani ya ziwa, kipi kinazidi kingine kukiwa na conflict?
Walibadilisha 1914.
Mpaka upo upande wa ziwa kama mpaka wa CAF ulivyo pwani ya ziwa.
Hivi, duniani kuna mpaka ambao upo pwani ya ziwa? buondaries na sphere of ifluence ni vitu viwili tofauti. Especially kama hakuna visiwa kwenye shared body of water.
Ilitawaliwa na ureno kwa kipindi kifupi baada ya Berlin conference kama sikosei. Mwingereza kwa kutumia claim ya missionaries za David Livingstone, na kampuni yake ya BSAC walipigana na mreno ambaye alikuwa akisaidiwa na Mwarabu na kuitwaa Nyasaland as a protectorate. Hii ni baada ya mreno kudai ardhi yote ya kutoka Msumbiji mpaka Angola (katikati kulikuwa na Rhodesia), pwani hadi pwani.