The Malawi-Tanzania Boundary Dispute Journal Article published in 1973

Hii issue ya Lake Nyasa ni ya kisiasa zaidi, la sivyo katikati ya ziwa ndiyo mpaka unaotambuliwa. Mwingereza hakuwa na mamlaka ya kubadilisha mpaka huu baada ya 1914, kwa sababu alikuwa ni mwangalizi tu chini ya Umoja wa mataifa, na chochote (kisheria) ambacho alifanya on behalf of Tanganyika ilibidi kikubaliwe na League of Nations/UN.
 
Kwa ajili ya kulinda maisha na maendeleo ya watanzania waishio na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutegemea ziwa nyasa ilikuwa ni muhimu sana hadi muda huu tunapojadiliana hapa JWTZ ingekuwa imekita kambi katika mpaka wetu na malawi.
Mazungumzo yafanyike lakini wakati huo kila nchi ikiwa inaheshimu kutokuingia eneo la nchi nyingine hata kama wanadhani ni lao.
Vinginevyo JWTZ ilitakiwa kufanya kazi yake na kuwasukuma nyuma hao watafiti wasithubutu kugusa eneo letu.
Kuna kambi ya Navy Mbozi.
Kuna JWTZ Songwe, katika boundaries zenye bases nyingi hii ni mojawapo.
 
Hila huyu mama wa malawi anajiamini sana coz atapata support ya nje kutoka uk na usa nyinyi simmejifanya mmekataa ushoga malawi watasaidiwa coz wamepitisha ushoga ruksa na hili jeshi letu lililojaa watoto wa vigogo wanaoingia jeshi kwa vimemo kazi itakuwepo
 
Malawi chini ya utawala wa mreno mpaka kati yake na Tanganyika, uligawa ziwa nusu au ufukwe wa ziwa upande wa Tanganyika? Au niseme hivi makubaliano ya Berlin conference ambayo yalikabidhi Ureno Malawi yanatambua mpaka upi ,wa ufukweni au wa kati ya ziwa?

Malawi haijawahi tawaliwa na Mreno, bali ilitawaliwa na Waingereza na wakati huo iliitwa Nyasaland. Makoloni ya Mreno katika Africa yalikuwa Mozambique, Angola, Guinea Bisau, Cape Verde, na Sao Tome and Principe
 
Ilitawaliwa na ureno kwa kipindi kifupi baada ya Berlin conference kama sikosei. Mwingereza kwa kutumia claim ya missionaries za David Livingstone, na kampuni yake ya BSAC walipigana na mreno ambaye alikuwa akisaidiwa na Mwarabu na kuitwaa Nyasaland as a protectorate. Hii ni baada ya mreno kudai ardhi yote ya kutoka Msumbiji mpaka Angola (katikati kulikuwa na Rhodesia), pwani hadi pwani.
 
aafu membe ndo anataka kuwa rais wetu na kauli dhaifu namna ile, what a joke! Hawakuona mwenzao museveni? Mbona wanakuwa watu wa ajabu kiasi hiki? Kweli watz walichagua nazi badala ya kiongozi

Kiongozi ni reflection ya watu anaowaongoza.
Kama sisi ni dhaifu, ajbu ni nini kuwa na kiongozi dhaifu?
Si tumempigia kula?
No excuses!
 
Hila huyu mama wa malawi anajiamini sana coz atapata support ya nje kutoka uk na usa nyinyi simmejifanya mmekataa ushoga malawi watasaidiwa coz wamepitisha ushoga ruksa na hili jeshi letu lililojaa watoto wa vigogo wanaoingia jeshi kwa vimemo kazi itakuwepo

Kwanza wamelala tu hawana kazi ya kufanya, ngoja wakapigane huko!
Na ajabu, tulivyo wazembe, tunaweza kudundwa hata na Joyce Banda
 
Hila huyu mama wa
malawi anajiamini sana coz atapata support ya nje kutoka uk na usa
nyinyi simmejifanya mmekataa ushoga malawi watasaidiwa coz wamepitisha
ushoga ruksa na hili jeshi letu lililojaa watoto wa vigogo wanaoingia
jeshi kwa vimemo kazi itakuwepo

Una jambo mkuu! Sasa tuko watu ambao tunaipenda sana nchi yetu..lkn hatuipendi sana serikali yetu hii dhaifu. Ujinga wa wamalawi kudai ziwa lote haukubaliki!
 
Wameanzia tu hapo, kuna siku itakuja kuwa mlima kilimanjaro ni wa kenya, ziwa victoria ni la kenya na uganda,
bandari ni yafulani na vitu kama hivyo, viongozi dhaifu.
 
We vipi!! Unatuwekea article ambayo hujasoma!! Anyway asante tutaisoma.
published by The Journal of Modern African Studies

samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma
 
Kuchezea masuala ya mipaka ni sawa na kuchezea nyoka mwenye sumu. Nchi inahitaji kuwa straight forward, kusema kile inachokiamini na kukisimamia hata ikiwa kuingia vitani.
 
Tulisherehekea vipi miaka 50 ya uhuru wakati sehemu ya nchi yetu bado inatawaliwa na malawi?
 
Mimi huu mgogoro naona ulikuwa na manufaa sana kwa sisi watu wa Kyela. Ulisababisha tukajengewa barabara ya lami mapema!! Bila hivyo, huenda mpaka sasa tusingekuwa na barabara ya lami, au ingechelewa sana kama ile ya Makambaku-Songea.

Huu mgogoro mpya huenda ukawa na manufaa pia
 
seems like hatuna chetu hapo. ni hot air tu hatuna basis za maana..tukileta mchezo wangereza watatufanyia kama walivomfanyia Gadafi. mi nafikiri kama wamalawi wakikataa kutupa walau kms kadhaa baada ya fukwe, ujeuri pekee tunaoeza fanya ni kuu-divert mto Songwe na kumaliza maji yake yote humuhumu kwa kilimo cha umwagiliaji na kujenga embankment kubwa sana maji yasiende ziwani tena...hiyo ndo dawa na jirani mkorofi.

Kuna mito yetu 4 mikubwa (kwa upande wa Kyela) inayomwaga maji yetu Ziwa Nyasa: Lufilyo, Mbaka, Kiwila na Songwe. Siyo rahisi kui-divert yote
 
Ilitawaliwa na ureno kwa kipindi kifupi baada ya Berlin conference kama sikosei. Mwingereza kwa kutumia claim ya missionaries za David Livingstone, na kampuni yake ya BSAC walipigana na mreno ambaye alikuwa akisaidiwa na Mwarabu na kuitwaa Nyasaland as a protectorate. Hii ni baada ya mreno kudai ardhi yote ya kutoka Msumbiji mpaka Angola (katikati kulikuwa na Rhodesia), pwani hadi pwani.

Malawi haijawahi tawaliwa na Mreno
 
Kwa ajili ya kulinda maisha na maendeleo ya watanzania waishio na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutegemea ziwa nyasa ilikuwa ni muhimu sana hadi muda huu tunapojadiliana hapa JWTZ ingekuwa imekita kambi katika mpaka wetu na malawi.
Mazungumzo yafanyike lakini wakati huo kila nchi ikiwa inaheshimu kutokuingia eneo la nchi nyingine hata kama wanadhani ni lao.
Vinginevyo JWTZ ilitakiwa kufanya kazi yake na kuwasukuma nyuma hao watafiti wasithubutu kugusa eneo letu.

Kupeleka majeshi mpakani will tantamount to provocation.
 
Back
Top Bottom