The Magambaz wanashikana mapaja..!!

Nilimpiga stop mke wangu kuingia kwenye siasa. Haya majamaa hayana haya kwa wake za watu. Linaona kabisa pete ya ndoa halafu linashika maeneo kama hayo.

Afadhali Mkuu kama ulimkataza na akakusikia kuna jamaa nilisha shuhudia alikunywa sumu kisa mkewe anatembea na kigogo moja wa chama mwenye pesa na yeye hana kitu alikuwa na Meza tu sokoni pale anauza bidhaa,akimuuliza kitu mke anakuja juu kama moto wa kifuu kila siku shughuli za chama, kigogo anajilia anavyotaka na watu wanajua jamaa akaona isiwe tabu bora atangulie zake.... aaah Mapenzi kitu kingine.
 
unajaribu kumaanisha kwamba Betty Mkwasa....????

Mzee kusoma tabu, hata picha? Hivi kweli mkeo from nowhere unaona anapewa cheo halafu eti mnatakiwa make mbali mbali wewe umekaa tu, kuna mijitu mingese kweli!!
Huyo mwanamke kwenye picha hana pete ya ndoa, ni mipete yao ya kichawi ile...
 
Mzee kusoma tabu, hata picha? Hivi kweli mkeo from nowhere unaona anapewa cheo halafu eti mnatakiwa make mbali mbali wewe umekaa tu, kuna mijitu mingese kweli!!
Huyo mwanamke kwenye picha hana pete ya ndoa, ni mipete yao ya kichawi ile...

ha ha ha Kiraka una mambo sana mzee..kwahiyo unataka kunambia kocha amechezewa rafu??!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu JK atafia juu ya eneo la ttukio....kila kona yupo.....the magambaz hizi ndio zao....it is give and take
 
VT VINAVUMILIA UZITO C MCHEZO. SIJUI YULE BINTI NYUMA YA NONDO SEGErIA ALIKUWA ANAVUMILIAJE

Nandio maana binti alipoenda segerea jamaa akaenda India kwa matibabu ya kiuno..simpatii picha akiwa 6x5 anavo ya mwaga mauno.lol
 
lakini huyu komba ana bahati mbaya na camera .. mara ina mdaka anauchapa usingizi bungeni.. mara anacheza kiduku.. leo anamshika mapaja mke wa mtu
 
Back
Top Bottom