The Magambaz wanashikana mapaja..!!

kAA YAKE...........AMEBEBANISHA VITI.......? KAZI KWELI KWELI. "SISI NI SHOKA NDOGO WAO NI MTI MKUBWA,..lakini ipo siku tutawaangusha...."by Bob Marley
 
Nilimpiga stop mke wangu kuingia kwenye siasa. Haya majamaa hayana haya kwa wake za watu. Linaona kabisa pete ya ndoa halafu linashika maeneo kama hayo.
 
Hivi kama mimi ni mume wa huyo mwanamama nikaamua kumBARLAW huyo mzee, nitakua na makosa kweli????
 
View attachment 68488

Magambaz wakiwa kazini..!!!

Kwa vipi!!!!!!!!!! mke wa mtu umshike hivyo eti mko kwenye kikao cha magamba! Wa kwake akikuta ameshikwa hivyo ataafiki kuwa ni mkutano! Ndio hayo ya kumpa mke wako cheo-ukuu wa wilaya wakati hana qualifications. Unafikiria nini kama mwanamume! Chakula cha wakubwa! eg-kutoka utangazaji wa ITV kuwa DC na particularly ukiwa MREMBO
 
unajaribu kumaanisha kwamba Betty Mkwasa....????
 
Wamezoeana kiasi cha kushikana ivyo usikute ata Mzigo alishakula mzee mzima mwenyewe
 
Back
Top Bottom