The "LIKE"' bank

Karibu chit chat.


Sasa mbona anataka Like halafu anaingia mitini..?? Halafu ujue Mamndenyi mi napenda sana kujua umri wako,we nitajie tu wakati ukiwa na miaka miwili kulikuwa na tukio gani kubwa nchini au hata duniani nitakuelewa.Kwa mfano mimi wakati nikiwa na miaka Mitano ndio kulikuwa na Mkole wa Nyamayao kule Vijibweni..
 
Last edited by a moderator:
najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea LIKE,na mimi ninakugongea,yani kila mtu anampa like mwenzake,at the end of the day unakuwa na likes kibaaao......ni kawazo changu tu cha leo nimeamka nacho,,,,let the show GO ON.......

Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.
 
Last edited by a moderator:
peri nadhani hujaelewa mchezo unavyoenda,,,,una-LIKE kila comment iliyoko juu yako,ungetakiwa kunipa mimi LIKE na kumpa snochet LIKE,atakayekuja chini yako naye atakupa LIKE,ukipata nafasi ya kurudi utawapa wenzako LIKE pia....mimi nakudai LIKE moja.......let the fun go ON

Nilielewa ila nilikuwa natumia sim, nadhani sasa tuko pamoja coz nimeshalipa madeni.......let the fun go ON.
 
Hii obssession ya likes nashukuru maulana imeniepuka. Trust me, mtu akipenda wazo langu nafurahi, lakini sio muhimu agonge like. Anaweza kumention tu ama quoye na kusema amependa na kwa nini. It is more interractive kuliko like.
 
Back
Top Bottom