ffoas
Member
- Feb 23, 2011
- 34
- 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapelestina hawatoweza kupata haki yao ya land kutokana na "power" kutoka West countries. Tatizo lipo kwamba hawa jamaa Zion, wanacontroll USA, UK, nk. Mpaka USA ianguke kipower, ndiyo tunaweza kuona haki inatendeka duniani. Obama alikuja na kampeni nzuri ya two state solution, lakini hawezi kuikamilisha; kwa sababu, hawa jamaa hawataki solution yoyote.
Tatizo la kutopatikana amani Palestina ni zaidi ya ukoloni wa kawaida. Ni vita vya watu wa Mungu na wale waliodanganywa kuwa kuna Mungu Mwigine ambao hawataki kusikia wala kuishi na watu wasiomwamini huyo Mungu photocopy. Ninaamini Israel na wapalestina wangeweza kuishi kama makaburu na Waafrika SA lakini haiwezekani kwa wapalestina kwani wao pamoja na kuwa Uislamu ulijiunda kwa mawazo ya Mungu wa Kiyahudi wanaamini wasiomwamini Allah hawawezi kuishi nao na ni maadui wao wakubwa. Wananyanyasika wanauawa lakini hawana ujanja kujiondoa kwa hilo wazo la Mola wao dhalimu anayepalilia uadui kati ya waumini wake na wasiowaumini kote duniani.
Palestina ni igizo la shetani kujaribu kufunika historia ya utakatifu wa nchi aliyoichagua Mungu kuwa mfano kwa ulimwengu Israel. Kwa bahati mbaya walionaswa kwenye hivo vita vya mwovu na Mungu ni wapalestina. Waisraeli kwa kuwa ni upande wa Mungu mwenyezi anawatetea na kuwabeba kwa miujiza isiyo kawaida. Kwamba ni taifa dogo lakini lenye nguvu kama ilivokuwa Israeli ya kale. Wanapigana na maadui wanaowazunguka pande zote lakini hakuna hata wa kumtikisa. Pa1 na hayo yote wapalestina wamefunikwa na kiburi cha Mungu wao hawawezi kuona ukweli huo. There pride on Allah is killinga them while Allaha ca help nothing in the hands of Yehova.