Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Kongoli hii link uone picha za kijijini Kogelo:
http://www.boston.com/news/world/africa/gallery/091309_obama/#/1
http://www.boston.com/news/world/africa/gallery/091309_obama/#/1
Wakenya mbona sijakisia kuchangamkia utalii na "The Obama Special" or some similar package? Mtu anakuja kijijini huko anapelekwa mpaka Masai Mara kuona wanyama.