The Julius Nyerere Master’s Scholarship

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
The University of Edinburgh will offer a Scholarship to a student from Tanzania for postgraduate Master’s study in any subject offered by the University for the 2010-2011 academic session.

The Julius Nyerere Scholarship was set up in 2009 in memory of Mwalimu Julius Nyerere who led Tanganyika to independence in 1961 and became the first prime minister and later president of Tanzania. Nyerere received a scholarship in 1949 to attend the University of Edinburgh where he obtained a Masters of Arts degree in Economics and History. He was the first Tanzanian to study at a British University and only the second to gain a University degree outside Africa.

The Julius Nyerere Master’s Scholarship will cover the full overseas tuition fee, living costs of £10,000, and a return flight from Tanzania to the UK. In 2010-2011 the tuition fees and living costs will be covered by the University of Edinburgh, while the return flights will be covered by the Tanzania Edinburgh Community Association.

The scholarship will be tenable for one academic year.

Completed application forms must be returned to the Scholarships and Student Finance Office no later than 1 April 2010.

CLICK HERE FOR: Further Scholarship Information and Application
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master's Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master’s Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.

Amalize kwanza form 6 na ikibidi aende Chuo kikuu na Mastres ndiyo aombe.

Watanzania mliosaidia kupatikana kwa hizi nafasi na mmekuja kuzitangaza kwa wote MBARIKIWE. Mnajifahamu ni akina nani .......
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master’s Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.

Acha matani kwenye vitu sirius!
 
Mkuu umenifurahisha sana! Wewe ulienda University baada ya kumaliza form 4 (kama ulipata hiyo bahati)? Halafu ungesoma vizuri hii habari ungegundua pia kuwa siyo ya undergraduate, "NI MASTER'S SCHOLARSHIP"!!
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master's Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.

bange za asubuhi mbaya sana, form 4 akasome masters??, mweh.
 
Ndugu hapo mjini dar es salaam kuna vyuo binafsi anaweza kwenda kuanza na certificate lakini kama anataka mambo ya IT au Sheria unaweza kufika mpaka huko sio lazima ufike form 6
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master's Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.

MziziMkavu siamini kwamba ulikuwa serious na post yako! F4 halafu Masters Degree? Kaazi kweli kweli!
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master’s Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.

Niliwahi kusema avatar ya mtu inaelezea tabia ya mtu nikatukanwa je hizi sio Bangi? ndio maana serikali inapiga vita hili jani kila kukicha.
 
bange za asubuhi mbaya sana, form 4 akasome masters??, mweh.
yap anaweza but apitie mfumo wa certificate then diploma then bachelor finally masters lakini inachukua mda kama alifeli ndo kimeo
 
Asante Mkuu Maxence Melo Nakuuliza Swali naomba unijibu mimi ni Mwanangu amemaliza sule ya secondary mwaka huu form 4 anasubiri majibu yake ya mtihani je anaweza kuomba maombi kwa hiyo shule ya The Julius Nyerere Master’s Scholarship? naomba majibu kutoka kwako Asante.

hiyo avator yako ni nzuri lakini unafahamu hizo rangi zinamaanisha nini au ni alama ya Organization gani au ni alama ya jamii gani ya watu?

ndugu yangu Mtoto ndio kwanza kamaliza Form 4 na hata majibu bado, unafikiria mambo ya Masterz?, kwa dalili hizi nadhani ungekuwa na vijisenti ungemnunulia ka Phd Kabisa kutoka katika vile vyuo vyetu (Makongoro, Lukuvi)
 
unataka kudaiwa mahakamani, una uwezo wa kulipa bilioni zaidi ya 3, make mwenzio Msemakweli mpaka sasa anadaiwa zaidi ya bilioni fulani kama fidia ya kashfa, lakini cha kushangaza zijaona kama jamaa (makongoro) anatilia mkazo kuhusu hiyo kesi, nilickia mara moja tu akidai kudhalilishwa halafu kimya.,

Au mambo ya kusurrender hayo---------hizi shule jamani
 
nafikiri hii mnatakiwa muwe enrolled pale kwanza. kwa hiyo kwa wale ambao hawajapata admission pale wasahau hadi mwakani, kama nakosea nisahihisheni.
 
Acha matani kwenye vitu sirius!

JF HOME OF GREAT THINKERS
MziziMkavu Hauchimbwi Dawa
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom