According to NHK sasa hivi ni 8.9, nchi zilizo under warning ni russia, marianna island, taiwan, phillipines, papua new guineawenzetu bahati nzuri wana early warning systems, sijui ingetokea hapa kwetu ingekuwaje. Picha za mafuriko zinatisha kwa kweli. sasa hivi wanase,a magnitude inaweza kufika zaidi ya 9