The History Will Absolve You ( Dr. Slaa PhD)

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Nimekuwa nikifuatilia yaliyotokea katika Uchaguzi mkuu uliofanyika 2010 na muendelezo wa mambo au vituko vinavyoendelea baada ya Uchaguzi, baada ya tukio la Jana Arusha nimejikuta nikijikumbusha juu ya Speech aliyowahi kuitoa Fidel Castro mwaka 1953 alipokuwa anashitakiwa kwa kosa la Uhaini na Serikali Dhalimu ya Dictator Batista, Katika Hotuba yake hiyo maarufu kwa jina la " The History will Absolve Me" Fidel Castro alimaliza kwa maneno yafuatayo mbele ya Majaji waliokuwa wanaendesha kesi hiyo

I know that imprisonment will be harder for me than it has ever been for anyone, filled with cowardly threats and hideous cruelty. But I do not fear prison, as I do not fear the fury of the miserable tyrant who took the lives of 70 of my comrades. Condemn me. It does not matter. History will absolve me.

Dokta Slaa na Makamanda wengine nawaambia " Historia itwakumbuka"

Waweza soma Hotuba yote hapa

History Will Absolve Me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom