The History of Mwapachu family in relation to uhuru struggle

Nilipata tabu mara moja niliposema Nyerere si Mtanzania wa kwanza kusoma Uingereza, Hamza Mwapachu alimtangulia. By the time Nyerere anaenda, Mwapachu alikuwa kasharudi Tanganyika. Na kwa kweli Nyerere alipewa barua za utambulisho na Mwapachu. Hii ni sababu moja iliyomfanya Nyerere kujiunga na Fabian society iliyomjenga zaidi katika imani yake ya Ujamaa.

Mzee Mwapachu alikuwa na sehemu kubwa katika kumuandalia Nyerere network ya marafiki Uingereza.
Kiranga,

..is it true kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa akifundisha somo la biology?
 
Last edited by a moderator:
Historia hii isitumike kwa watoto na wajukuu kujiona
ni 'the elite and the entitled rulers of their fellow Tanzanians'.......

Baba yao for whatever reason......haalalishi wao kujifanya 'wana haki ya uongozi kupita wengine nchini'

Umenena mkuu.....my old man hakua kasoma lakini akanisomesha na kufanikiwa kuwa na uwelevu sasa hii sio sababu ya mie kunyimwa haki na wengine coz wanamajina MAPACHU.MAKONGORO KIKWETE YOU NAME IT WAONEKANE KUWA WAO WAKO ONLINE YA ADMINISTRATIVE PRIVILEGE........THAT'S OLD THINKING
 
Hapana, si hao hao. Kosa la rafiki, ndugu, mtoto, baba, mama, shangazi yako si lako.

Tusiwe wachovu wa kufikiri. Hata muwe mapacha wacha Mwapachu, mmoja akifanya kosa hahukumiwi mwingine.

aisee. Udini huwa unaondoa ustaarabu. Cant imagine unaweza kuwa mstaarabu hivi. Nakubalina na perspective hii kwa asilimia mia!
 
Ngoja na mie nizichange vizuri, 50 yrs after my death wajukuu na vitukuu waongee with pride of being my descendants. Oh God help me
 
very interesting story,ila tusipeane vyeo kimajina tupeane vyeo kulingana na elimu pamoja na uwezo wa mtu!!
 
Nilipata tabu mara moja niliposema Nyerere si Mtanzania wa kwanza kusoma Uingereza, Hamza Mwapachu alimtangulia. By the time Nyerere anaenda, Mwapachu alikuwa kasharudi Tanganyika. Na kwa kweli Nyerere alipewa barua za utambulisho na Mwapachu. Hii ni sababu moja iliyomfanya Nyerere kujiunga na Fabian society iliyomjenga zaidi katika imani yake ya Ujamaa.

Mzee Mwapachu alikuwa na sehemu kubwa katika kumuandalia Nyerere network ya marafiki Uingereza.[/QUOTE

Correction ,Kijana Mwapachu kwani hakuufikia uzee wakati anafariki in short ni mmohawapo wa mababu waliokuwa vijana maisha yao yote!
 
Correction ,Kijana Mwapachu kwani hakuufikia uzee wakati anafariki in short ni mmohawapo wa mababu waliokuwa vijana maisha yao yote!

You can't fight the second law of thermodynamics, kwetu uzee ni heshima na si kitu cha kukimbiwa.

Mimi naongea from the perspective of my age, which makes me like a grandson or among the very last sons, so muhenga wako hata kama alifikwa umauti utotoni bado ni muhenga kwako, kwa msingi huu.
 
Calm down Kiranga! was trying being funny silly me, no ill meaning intended friend!we cool?
 
Calm down Kiranga! was trying being funny silly me, no ill meaning intended friend!we cool?

You are a diplomatist, quite possibly a diplomat.

I wasn't heated to begin with, that's just my everyday pugnaciously pugilistic pondering.
 
Huyu Dr Lucian Tsere ana uhusiano wowote na balozi wa Tanzania nchini Malawi Patrick Tsere?

Pia Cecil Kallaghe ana uhusiano wowote na Balozi wa Tanzania Uingereza, Peter Kallaghe?
 
Nilipata tabu mara moja niliposema Nyerere si Mtanzania wa kwanza kusoma Uingereza, Hamza Mwapachu alimtangulia. By the time Nyerere anaenda, Mwapachu alikuwa kasharudi Tanganyika. Na kwa kweli Nyerere alipewa barua za utambulisho na Mwapachu. Hii ni sababu moja iliyomfanya Nyerere kujiunga na Fabian society iliyomjenga zaidi katika imani yake ya Ujamaa.

Mzee Mwapachu alikuwa na sehemu kubwa katika kumuandalia Nyerere network ya marafiki Uingereza.

Tatizo ni kwamba wema hawadumu.
 
He was devote, but when leadership of succession will stop and give opportunity to others capable Tanzanians which are lacking opportunity only because of their parents not to be famed!
 
Kila kizazi kina wajibu kushiriki katika kulijenga taifa. Hawa mchango wao ulikuwa kuleta uhuru. Sisi mchango wetu ni kuhakikisha tunaondoa Changamoto kama magonjwa, umasikini na maradhi kusudi kizazi cha kesho wapate pa kuanzia. Kama lifespan yetu sasa ni miaka 60..basi tujitahidi vizazi vya kesho lifespan iwe miaka 80. We are not doing favour. It is our duty. Though I am not sure if we are on the right track. Maana tamaa na wizi vimetuzidi.
 
Historia hii isitumike kwa watoto na wajukuu kujiona
ni 'the elite and the entitled rulers of their fellow Tanzanians'.......

Baba yao for whatever reason......haalalishi wao kujifanya 'wana haki ya uongozi kupita wengine nchini'
What did you have in mind to say something like this? This is a reminder to everybody that one gets the merit to hold a position through his or her own means and efforts.
Wengine wengi wanataka kuongoza sababu baba zao au babu walituongoza. Hata kama hawana cha kuchangia kwenye uongozi
 
Interesting! This country is a product of hard sweaty work done by the few hard working and intelligent men!
Big respect!
These hard working and intelligent Tanganyikans were educated and trained by colonialists (mabeberu to CCM) before Independence, what went wrong to find ourselves in a Tanzania of poor education, poor training, lazy workers, corrupt leaders, etc? The remaining few have a lot to tell!
 
Back
Top Bottom