The Hajj and Eid al-Adha Photoes around the world.....

Asante sana dear umenifurahisha sana wale vikongwe wa Kazargystan nimecheka sana kweli ulimwenguni tuko sawa kwani ni kama vizee vyetu tulivyosali navyo msikitini leo asubuhi kweli wanaadamu sote sawa.
 
Afrodenzi, am a christian though you really made my day with such nice pics. Thanks alot to know what's going around our planet

h37_17274787.jpg

Muslim pilgrims pray outside Namira mosque in Arafat near Mecca, Saudi Arabia. (AP Photo/Hassan Ammar)
 
Sahihisho kidogo dear: hii ya sasa ni Eid el Fitr ya kumaliza mfungo,kwenye picha hizi ni Eid el Adha ya wakati wa Hija.
Nimewasiliana na CNN ili uwe i-reporter wao huko down under lol!
 
Sahihisho kidogo dear: hii ya sasa ni Eid el Fitr ya kumaliza mfungo,kwenye picha hizi ni Eid el Adha ya wakati wa Hija.<br />
Nimewasiliana na CNN ili uwe i-reporter wao huko down under lol!

Asante..
Lakini sikukosea kwani sikupata picha nzuri za
Eid -El-Fitr.. nikaona bora niweke hizi kuliko
0... either way bado ni sikuku ya Eid..
Sante tena..
 
You are a great woman inabidi nikubaliane na Kloro hapa chini upate mapacha.

Afrodenzi tangia anunuliwe kamera na mchumba wake (jina: Mzizimkavu) anajitahidi sana.

asante AD bana
ubarikiwe mimba ya pacha
Aaaaamin
Kamanda futa kauli hii bana yule Mzizimbichi ni mganga wa kienyeji hatuwezi kumpa kifaa hiki hahaha!
 
Kamanda futa kauli hii bana yule Mzizimbichi ni mganga wa kienyeji hatuwezi kumpa kifaa hiki tunachokisomesha Ausie/NZ kwa fedha nyingi za wavuja jasho wa Tanzagiza hahaha!

Kamanda sio mimi ni majungu ya JF, unajua nimepokea PM nyingi sana kuhusiana na hili suala. Mimi nimewabishia sana lakini acha tumsubirie AD mwenyewe akanushe. Kama sio kweli basi tutamconnect AD na rejao halaka iwezekanavyo. mahari katiba ya CCM
 
Mkuu huyu binti kakukosea nini ? hata ukiangalia picha yake ni mpole kabisa mpaka ukisogeza kidole chako kinywani kwake hakung'ati halafu ubishi wa Rejao atauweza kweli Rejao watawezana na binti yulee (jina kapuni) lol!
 
Futa kauli kamanda, yaani mimi akifa waifu leo basi kesho namchumbia Afrodenzi, huyu mdada nikiona spelling za jina lake tu basi ramani ya suruali inabadilika (kupenda marazi wajameni), hehehe huyo jina kapuni tutampatia PAW wakapigane ban 6 kwa sita.
 
Asante sana dear umenifurahisha sana wale vikongwe wa Kazargystan nimecheka sana kweli ulimwenguni tuko sawa kwani ni kama vizee vyetu tulivyosali navyo msikitini leo asubuhi kweli wanaadamu sote sawa.

yap kabisa mkuu
tuna muabudu Mungu mmoja tu...
 
Afrodenzi tangia anunuliwe kamera na mchumba wake (jina: Mzizimkavu) anajitahidi sana.

asante AD bana
ubarikiwe mimba ya pacha
Aaaaamin

Fujo

You are a great woman inabidi nikubaliane na Kloro hapa chini upate mapacha.

Kamanda futa kauli hii bana yule Mzizimbichi ni mganga wa kienyeji hatuwezi kumpa kifaa hiki hahaha!

Fujo zaidi

Kamanda sio mimi ni majungu ya JF, unajua nimepokea PM nyingi sana kuhusiana na hili suala. Mimi nimewabishia sana lakini acha tumsubirie AD mwenyewe akanushe. Kama sio kweli basi tutamconnect AD na rejao halaka iwezekanavyo. mahari katiba ya CCM

Fujo tena

Mkuu huyu binti kakukosea nini ? hata ukiangalia picha yake ni mpole kabisa mpaka ukisogeza kidole chako kinywani kwake hakung'ati halafu ubishi wa Rejao atauweza kweli Rejao watawezana na binti yulee (jina kapuni) lol!

Fujo , fujo

Futa kauli kamanda, yaani mimi akifa waifu leo basi kesho namchumbia Afrodenzi, huyu mdada nikiona spelling za jina lake tu basi ramani ya suruali inabadilika (kupenda marazi wajameni), hehehe huyo jina kapuni tutampatia PAW wakapigane ban 6 kwa sita.

Nlikuwa nimepanga niwaalike
kwenye Sherehe itakayofana kwenye ukumbi
wa saba saba arusha... lakini sasa mmmmhhh
naona fujo zimezidi....
 
Back
Top Bottom