The Gym Diaries

Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,275
1,655
S01E01 The Beginning
mambo wana JF!! hivi majuzi niliweka uzi wa kutafuta gym buddy na jana nimeanza rasmi mazoezi. kila kitu kilikuwa pouwa lakini mikono inauma bado, rafiki zangu wa jf walishindwa kufika jana so i was all alone but i really enjoyed myself. I can't w8 nikienda baadae. napenda kumshukuru King'asti kwa ushauri na kunipa moyo wa kuanza jana, na nina hamu ya kumuona sometime in the future :).

S01E02 The Aching
Day2 and my arms hurt badly. Nilifanya marudio ya jana, haikuwa as hard as jana. nilikuwa nacheki mseries wakati wa break :) kujiliwaza na kupunguza maumivu. Nliongea na dada mrembo mmoja lakini sikufika popote, ntajaribu tena kesho nkimuona
 
Blaine, nashukuru Kama nimekuwa walau aw msaada. Plz keep going. It will make you feel better about yourself. Aisee, nimetingwa Kama kibiriti Ngoma, lakini I will join you soon.

Kila la kheri, I'm challenged by your commitment, I will have to beat you so-help-me-God:israel:
 
Last edited by a moderator:
burning calories whaooh hongera. ila mie kila nikienda gym nikiangalia kitambi changu tu kwenye kioo nakionea huruma narudi tena bar kukilea
 
Back
Top Bottom