The Golden Chance

Mkanya

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
599
14
Wazalendo mimi binafsi nadhani sasa ni WAKATI.

Katika chuo kikuu cha Dar es saaam,Baada ya uchaguzi wa wanachuo kuaanza ilionekana kuna mgombea aliyechaguliwa tayari na viongozi,sijui ni wakinanani na hata ukiwa Chuo utakuta chuo kizima kimejaa picha kutoka kwa kodi za wamaskini waishio Tanzania wanao lala njaa nimesikia fununu hizo.

Sasa kituambacho hawakujua ni kuwa wanafunzi wote wa mlimani ni wapinzani wa CCM yaani hawaitaki ndio maana wote wanachuo wakaona bora waongozwe na Mganda ODONG kuliko kuongozwa huyu mtz.
Chuo cha ccm viongozi wake wakaona wamfukuze huyo Mganda ili ccm agombee mwenyewe,na wanafunzi hawakuwa tayari kwa hilo.

Sasa basi wanafunzi wakawa wanataka wanafunzi wenzao warudishwe ndio maana wakakamatwa kwakuwa hwafati itikadi za kifisadi,
sasa na wamefungwa wengine wemefukuzwa chuo.

SASA NINI CHAKUFANYA KWA HAWA WANAFUNZI WETU? NADHANI TUWAUNGE MKONO WOOTE KWA PAMOJA ILI WAPATIWE HAKI YAO YA KIKATIBA NA TULETE MABADILIKO,MIMI NIPO TAYARI KUANDAMANA PAMOJA NAO,NA VIONGOZI WA SIASA WA UPANDE WA UPINZANI MUUNGE MKONO MUANZISHE MAANDAMANO NCHI NZIMA KUPINGA UNYANYASAJI NA UFISADI.

WITO KWA WANA JF WOOOTE TUUNGE MKONO KWA CHOCHOTE KITAKACHO FANYWA NA HAWA WANAFUNZI MAY BE YAKAWA MABADILIKO YALE AMBAYO WENGI TUMEKUWA TUKIPIGA KELELE HUMU NDANI,NIFURAHA YANGU KAMA TUKIITUMIA HII CHANCE VIZURI KULETA MABADILIKO YA KWELI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom