The Future of Lowassa & Migiro: Utabiri Yakinifu

Bw. Kadinali, ulionaje hii picha ikija? Maana imekuja kama ulivyotabiri. Au uko karibu na System nini! Anyway tuikatae CCM na hila zake zote kwa nguvu zetu zote.
 
July 11, 2013 nilitabiri ijapokuwa mama Asha Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

Wote tumeona kuwa mama huyu ameingizwa kwenye Kamati Kuu ya CCM ili kusogezwa karibu na urais- UTABIRI UMETIMIA

Na sasa jambo hilohilo litaenda kufanywa kwa mama Mwanaidi Maajar. Anarudishwa nyumbani ili asogezwe na kiti cha urais kwakuwa anatoka kwenye kundi fulani la watanzania ambalo ndugu Kikwete amekuwa analipendelea sana - muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete.

Mkuu iwapo utabiri huu utatimia kazi ya Upinzani kwenda Ikulu itakuwa Rahisi na ya Muujiza wa kuua Tembo kwa Ubua.Hata watu wateuliwe kwa vigezo gani 2015 ni Mwisho wa haya yote watu wako kimya wana watazama tu.

Wale 4,000,000. waliompa bwana Mkubwa kura mwaka 2005 na kumnyima Mwaka 2010 ,ambapo 2010 walikaa pembeni bila kujitokeza 2015 watajitokeza na kuupeleka upinzani IKULU " Hapa na Maanisha CHADEMA " kwa bara na "CUF" kwa zanzibar
 
Inaweza kutokea sana tu! Kwani wanaoongoza nchi hii ni malaika? Si wamatumbi tu wa kawaida?! Sasa kwann isitokee... Maccm hayana akili haya majitu!

Mkuu usikasirike, mweleweshe tu kwamba wajinga ambao ni mtaji wa CCM wakiisha au wakierevuka CDM watatoboa ikulu. Jamaa kakujibu hivyo coz anajua wajinga bado ni wengi.
 
Kuna ukweli kwenye hizi propaganda nilizozikuta kwenye moja ya mitandao ya facebook?
''CONSPIRING COMMUNITY OF MUSLIMS (CCM)???''
''Nimeshachukua fungu kutoka nchi za kiarabu tuzitumie kuutokomeza kabisa huu ''mfumo kristo'' na hii ni kimya kimya, Si uliona nilianza na kuwachomoa kwenye Chama, tukachuka nafasi na hata serikali tumeishakamata nafasi muhimu. Kwa hiyo andaeni vijana waanze kazi ya kuwatia hofu, chomeni makanisa yao ila kwa awamu ili wapate muda wa kujisahau, Na hawa viongozi wao mwagia tindikali wafie huko, au watilieni polonium wapate kansa za damu na ngozi sawa? Halafu tunazuga kuwapeleka India ili ku'cover'... au siyo? kuhusu mahakamani msihofu tuna majaji wa kutosha, kesi zote zitaisha salama. Halafu nimekumbuka, fanyeni biashara kuongeza pato hata kama madawa ya kulevya kisha tuwakemee viongozi wao waache kuuza madawa, ili kuzugazuga, Si unajua ilee?, enhee halafu make sure hizo pesa zinajenga nyumba za ibada kila kona ya jiji sio kufanyia propaganda tu. Muangalie pia uwezekano wa kupata mafunzo al-shabaab ili hawa wanaojifanya wapinga ufisadi watiwe adabu, kwanza ndiyo maadui wakubwa wa uislam. Majasusi wa nje wameshastukia ila tumewapoza na mikataba minono na hata marais wao wameahidi kushirikiana na sisi na watakuja kuisainia hapa hapa. Si unajua wao wanataka mali tu, Na kale kachama kanajifnya kakiharakati na kizalendo kaacheni tu hakafiki 2015, kuna kijana pale na kundi kubwa tu la kukiharibu, tumeshamshika. Na hili jamaa linalopiga kampeni misikitini na makanisani tunalitafutia dawa yake, Kwanza nadhani ASHA anatosha, kama tulivyofanya kwa spika, si unakumbuka eeh?, Ila limejitahidi sana kujisafisha me nilidhani nimemaliza kazi ile January 2008. Anajifanya ana pumzi sana na mamvi yake. Lakini naomba tena na tena huu mpango uwe wa siri kubwa na waumini wenyewe wasijue wao ni kuwaelekeza tu sawa? Inshallah mwenyezi mungu akijalia mwaka 2030 hii inakuwa dola mpya ya kiislam. Inshallah...

Huwa napita pita humu kuangalia mapimbi wakijigamba na upuuzi wao.
Leo umenigeuza mawazo na msimamo.
Umenena, aliye na akili atakuelewa, mapimbi waache walivyo...
Excellent viewpoint!
 
huyu mbeba vitabu makamba naye anautaka urais? Atamwongoza nani huyu pimbi?waende nchi ya kusadikika na pimbi mwenzie zito wakagombee!

Ha ha ha ha....! Jf sio mchezo, ukikwazika kidogo huna haja ya kuumiza kichwa! Unaingia jf unakumbama na vitu kama hivi kisha mood ikirudi unaendelea na mambo yako. Long live jf, no one can curse you!1
 
Kaldinali Big Up ..Inaonesha upo karibu sana mfumo!! Yote uliyonena naona yanatimia...just matter of time and time is up now!! yetu macho!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom