The Future of Lowassa & Migiro: Utabiri Yakinifu

Nilikuwa nautafuta uzi huu hata hivyo wasira naye yumo kwenye kinyanganyiro hicho haahha utabiri rahisi huu
 
Moja:
Ndugu Edward Lowasa alienda nchini Marekani last week akifuatana na mke wake. Hii ni moja ya hatua za kiufundi za kujiandaa na kinyang’anyiro cha Urais. Anaanza kutembea na mke wake in order to look presidential. Pamoja na hayo bwana huyu atakuwa anaanza procedure za kumfundisha kazi za kisiasa na kiutawala mke wake - inawezekana hili linafanyika ili kumuandaa mke wake kugombea ubunge wa Monduli wakati yeye atakapo gombea urais kama mgombea binafsi. Kuna uwezekano mkubwa sana CCM ilipitisha muswada wa kuruhusu wagombea binafsi ili kumruhusu mtu mmoja tu (Edward Lowasa) kugombea Urais. Ama kwahakika huyu bwana ndio anatawala Tanzania.

Mbili: Pia, ijapokuwa mama Asha Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

Tatu: Kuna mawaziri na viongozi kadhaa wanaotamani urais amabao watafanya mipango ili wapewe udaktari wa heshima (phd) kabla ya mwaka2015 ili kujiongezea CV na sifa za kugombea urais. Hawa ni wale mawaziri na viongozi wanaopenda kupanda chati na ngazi kiujanja ujanja kama Ndugu Nyalandu nk.

Nne: Kwa jinsi binadamu walivyo na tama na wasivyorizika,ndugu Gharib Bilali atachukua fomu za kugombea urais wa muungano na most likely atamuomba Migiro au Tibaijuka wawe wagombea wenza wake. Eti Nchimbi Na January naopia wanaufikiria Urais- binadamu bwana!

Huu ni utabiri tu: Nawakilisha

UPDATE - FEBRUARY 18, 2013

Hatimae utabiri umetimia. Asha Migiro Amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria na uenyekiti wa organization ya CCM (anasogezwa ikulu) na Mwanaidi Maajar amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo cha diplomasia

UPDATED - DECEMBER 3, 2013

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.

Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.

Dr. Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa katika Chama cha Mapinduzi.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

3 Desemba, 2013

Mkuu Kaldinali

Nimekukubalije na huu utabiri!! Kula five! Alafu nimependa jinsi unavyo updates your info according to the specific event occurred in a certain period of time... All has and will come to pass!!
 
Inaweza kutokea sana tu! Kwani wanaoongoza nchi hii ni malaika? Si wamatumbi tu wa kawaida?! Sasa kwann isitokee... Maccm hayana akili haya majitu!

wewe mwenye akili kazitumie na mamako kuendelezaa familia yenu
 
All in all ukweli unabakia Kuwa 2015 kiti kiko wazi na ni ruksa kila mtu kuweka turufu yake
CCM Lowasa anazidi kuingia kwa wanchi na Mshiko kwa kiini macho cha msaada wa kijamii ( Makanisa, misikiti , mashule na haospitali) na kila akienda anaacha mamillion kadhaa na waandishi wappo wanampamba!! PESA KATOA WAPI?

Then una haya majamaa Sitta, Mwakyembe, Nchimbi, makamba bado jr sana !! labda kujenga CV!!, Magufuli na Membe!! hehhe Lakini tusisahau Mtoto wa Mwinyi Zanzibar Hawamjui na kakak bara muda wote azunguka wizara kibao
Nikarata Muhumu sana hiii. Maana 2005 Baada ya Che Nkapa sisi wazanzibari tulitegemea mgombea atoke kwete yakhe! lakini sasa Kikwete nyota ilikuwa kali mno!! inaunguza kila kitu. safari hii kazi sana maana wamesema kama hatoki zanzibar ndo mwisho wa ndoa ya MUNGANO!! hehhee sasa nani kiwakilishi Ghalib if fake! mtoto wa mwinyi ndo karata! je atapambana na chadema? hehhee maaana CCM wana kazi kweli kweli hehee! Migiro leo kawa mbunge lazima kati yake na tibaujuka mmoja atakuwa mgombea mwenza wa ...... nani? time will tell
 
Top 3 ya wagombea Urais kwa Ccm 2015 Dr Asha Rose Migiro, January Makamba, Edward Lowassa....

huyu mbeba vitabu makamba naye anautaka urais? Atamwongoza nani huyu pimbi?waende nchi ya kusadikika na pimbi mwenzie zito wakagombee!
 
Kuna ukweli kwenye hizi propaganda nilizozikuta kwenye moja ya mitandao ya facebook?
''CONSPIRING COMMUNITY OF MUSLIMS (CCM)???''
''Nimeshachukua fungu kutoka nchi za kiarabu tuzitumie kuutokomeza kabisa huu ''mfumo kristo'' na hii ni kimya kimya, Si uliona nilianza na kuwachomoa kwenye Chama, tukachuka nafasi na hata serikali tumeishakamata nafasi muhimu. Kwa hiyo andaeni vijana waanze kazi ya kuwatia hofu, chomeni makanisa yao ila kwa awamu ili wapate muda wa kujisahau, Na hawa viongozi wao mwagia tindikali wafie huko, au watilieni polonium wapate kansa za damu na ngozi sawa? Halafu tunazuga kuwapeleka India ili ku'cover'... au siyo? kuhusu mahakamani msihofu tuna majaji wa kutosha, kesi zote zitaisha salama. Halafu nimekumbuka, fanyeni biashara kuongeza pato hata kama madawa ya kulevya kisha tuwakemee viongozi wao waache kuuza madawa, ili kuzugazuga, Si unajua ilee?, enhee halafu make sure hizo pesa zinajenga nyumba za ibada kila kona ya jiji sio kufanyia propaganda tu. Muangalie pia uwezekano wa kupata mafunzo al-shabaab ili hawa wanaojifanya wapinga ufisadi watiwe adabu, kwanza ndiyo maadui wakubwa wa uislam. Majasusi wa nje wameshastukia ila tumewapoza na mikataba minono na hata marais wao wameahidi kushirikiana na sisi na watakuja kuisainia hapa hapa. Si unajua wao wanataka mali tu, Na kale kachama kanajifnya kakiharakati na kizalendo kaacheni tu hakafiki 2015, kuna kijana pale na kundi kubwa tu la kukiharibu, tumeshamshika. Na hili jamaa linalopiga kampeni misikitini na makanisani tunalitafutia dawa yake, Kwanza nadhani ASHA anatosha, kama tulivyofanya kwa spika, si unakumbuka eeh?, Ila limejitahidi sana kujisafisha me nilidhani nimemaliza kazi ile January 2008. Anajifanya ana pumzi sana na mamvi yake. Lakini naomba tena na tena huu mpango uwe wa siri kubwa na waumini wenyewe wasijue wao ni kuwaelekeza tu sawa? Inshallah mwenyezi mungu akijalia mwaka 2030 hii inakuwa dola mpya ya kiislam. Inshallah...
 
Nasikia waisilamu huqa wanalalamika sana...! ila bandiko lako sio ULALAMISHI bali mi " uchambuzi"
 
Nimependa namna ulivyofikisha ujumbe wenye maudhui mazito kwa kutumia fasihi rahisi
 
Back
Top Bottom