The Future of Lowassa & Migiro: Utabiri Yakinifu

Hata nikiwa na rafiki zangu hua nawaambia lowassa sio wa kumbeza anawez akachukua nchi watu oo fissdi hapew nchi mi naungana na utabiri wako endapo upinzani ukishinda poa kinyume hapo lawaasa nae anachukua nchi
 
Kaldinali I (somehow) concur If am right, remember Anna Makinda with that post? I think CCM are looking in the next 5,10 even more than that yrs to come, na walivoharibu, I'm suspecting hawalali working day and night on winning as much support as they can and for this case (women) to be able to stay in power, Now, I HOPE CHADEMA SEE ALL THESE!..2015 YATISHA ATI!
 

Hatimae utabiri umetimia. Asha Migiro Amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria na uenyekiti wa organization ya CCM (anasogezwa ikulu) na Mwanaidi Maajar amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo cha diplomasia kama mwanzo wa muendelezo wa kupewa na kupendelewa kwingi kwa wamama hawa wa dini ya ........
 
moja:
Ndugu edward lowasa alienda nchini marekani last week akifuatana na mke wake. Hii ni moja ya hatua za kiufundi za kujiandaa na kinyang’anyiro cha urais. Anaanza kutembea na mke wake in order to look presidential. Pamoja na hayo bwana huyu atakuwa anaanza procedure za kumfundisha kazi za kisiasa na kiutawala mke wake - inawezekana hili linafanyika ili kumuandaa mke wake kugombea ubunge wa monduli wakati yeye atakapo gombea urais kama mgombea binafsi. Kuna uwezekano mkubwa sana ccm ilipitisha muswada wa kuruhusu wagombea binafsi ili kumruhusu mtu mmoja tu (edward lowasa) kugombea urais. Ama kwahakika huyu bwana ndio anatawala tanzania.

mbili: Pia, ijapokuwa mama asha migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.either, mr mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

tatu: Kuna mawaziri na viongozi kadhaa wanaotamani urais amabao watafanya mipango ili wapewe udaktari wa heshima (phd) kabla ya mwaka2015 ili kujiongezea cv na sifa za kugombea urais. Hawa ni wale mawaziri na viongozi wanaopenda kupanda chati na ngazi kiujanja ujanja kama ndugu nyalandu nk.

nne: Kwa jinsi binadamu walivyo na tama na wasivyorizika,ndugu gharib bilali atachukua fomu za kugombea urais wa muungano na most likely atamuomba migiro au tibaijuka wawe wagombea wenza wake. Eti nchimbi na january naopia wanaufikiria urais- binadamu bwana!

huu ni utabiri tu: Nawakilisha

update - february 18, 2013


hatimae utabiri umetimia. Asha migiro amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria na uenyekiti wa organization ya ccm (anasogezwa ikulu) na mwanaidi maajar amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo cha diplomasia kama mwanzo wa muendelezo wa kupewa na kupendelewa kwingi kwa wamama hawa wa dini ya ........
je wewe ni mmojawapo wa hawa vijana waliofanya mtihani wa form 4?i can guess ur results!!
 
Moja:

Ndugu Edward Lowasa alienda nchini Marekani last week akifuatana na mke
wake. Hii ni moja ya hatua za kiufundi za kujiandaa na kinyang’anyiro
cha Urais. Anaanza kutembea na mke wake in order to look presidential.
Pamoja na hayo bwana huyu atakuwa anaanza procedure za kumfundisha kazi
za kisiasa na kiutawala mke wake - inawezekana hili linafanyika ili
kumuandaa mke wake kugombea ubunge wa Monduli wakati yeye atakapo gombea
urais kama mgombea binafsi. Kuna uwezekano mkubwa sana CCM ilipitisha
muswada wa kuruhusu wagombea binafsi ili kumruhusu mtu mmoja tu (Edward
Lowasa) kugombea Urais. Ama kwahakika huyu bwana ndio anatawala
Tanzania.

Mbili: Pia, ijapokuwa mama Asha
Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa
moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya
ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu
(muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la
kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila
atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu
atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha
urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali
atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani
urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo
usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea
nini).


Tatu: Kuna mawaziri na viongozi
kadhaa wanaotamani urais amabao watafanya mipango ili wapewe udaktari wa
heshima (phd) kabla ya mwaka2015 ili kujiongezea CV na sifa za kugombea
urais. Hawa ni wale mawaziri na viongozi wanaopenda kupanda chati na
ngazi kiujanja ujanja kama Ndugu Nyalandu nk.

Nne: Kwa jinsi binadamu walivyo na
tama na wasivyorizika,ndugu Gharib Bilali atachukua fomu za kugombea
urais wa muungano na most likely atamuomba Migiro au Tibaijuka wawe
wagombea wenza wake. Eti Nchimbi Na January naopia wanaufikiria Urais-
binadamu bwana!

Huu ni utabiri tu: Nawakilisha

UPDATE - FEBRUARY 18, 2013


Hatimae utabiri umetimia. Asha Migiro Amepewa uenyekiti
wa bodi ya chuo kikuu huria na uenyekiti wa organization ya CCM
(anasogezwa ikulu) na Mwanaidi Maajar amepewa uenyekiti wa bodi ya chuo
cha diplomasia kama mwanzo wa muendelezo wa kupewa na
kupendelewa kwingi kwa wamama hawa wa dini ya
........

ivi mkuu hauchoki na mada za udini, ivi unafurahia nini tukiuana, acha wewe
 
Kwa maoni yangu kuna kazi ya Ziada sana kwa CCM kama wakisema wampitishe Bilal au mgombea yoyote kutoka Zanziba. Haki ya nani kura yangu haipati hata kama mi ningekuwa MwanaCCM
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.

Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.

Dr. Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa katika Chama cha Mapinduzi.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

3 Desemba, 2013

 
Mambo rahisi ya Rais Kikwete ni rahisi sana kumtabiri hata kujua atafikiria nini kesho
 
July 11, 2012 nilitabiri kuwa ijapokuwa mama Asha Migiro anasema kuwa anarudi chuo kikuu kufundisha. Mimi natabiri kuwa moja kati ya haya mawili yatatokea.Either, Mr Mukandara atapewa kazi ya ubalozi na mama Migiro kufanywa mkuu wachuo kikuu cha Dar es salamu (muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini). Kama si hivyo basi mama huyu atapewa ubunge na uwaziri fulani nyeti utakao msogeza karibu na kiti cha urais na kumsogeza mtu fulani mbali na urais. Atakaesogezwa mbali atakuwa anatishia malengo fulani ya Kikwete ya kumuachia mtu fulani urais kwa malengo ya kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete – siutaji huo usawa ila kila atakaesoma hapa ataelewa naongelea nini).

Wote tumeona kuwa mama huyu ameingizwa kwenye Kamati Kuu ya CCM ili kusogezwa karibu na urais- UTABIRI UMETIMIA

Na sasa jambo hilohilo litaenda kufanywa kwa mama Mwanaidi Maajar. Anarudishwa nyumbani ili asogezwe na kiti cha urais kwakuwa anatoka kwenye kundi fulani la watanzania ambalo ndugu Kikwete amekuwa analipendelea sana - muendelezo wa teuzi zisizoelewaka za kikwete. Teuzi zenye lengo la kuleta usawa fulani anaoutaka Kikwete.

Wenye akili watanielewa, wasio nazo watanibeza!




https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ar-anaandaliwa-kwa-kazi-na-mpango-maalum.html
 
Top 3 ya wagombea Urais kwa Ccm 2015 Dr Asha Rose Migiro, January Makamba, Edward Lowassa....
 
hata nikiwa na rafiki zangu hua nawaambia lowassa sio wa kumbeza anawez akachukua nchi watu oo fissdi hapew nchi mi naungana na utabiri wako endapo upinzani ukishinda poa kinyume hapo lawaasa nae anachukua nchi
always huwa nasema 2015 lowasa atakua rais hanijui bt namkubali.. Wengne ndan ya ccm ni wasndkizaji cdm kutoa rais hawawezi zaidi wataongeza au kupunguza wabunge tym will tell
 
Back
Top Bottom