The future of Africa!!!!!!! Where is TZ?

Sabayi

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
2,310
991
Top 10 African fastest growing cities - YouTube

Miji ifuatayo ndiyo inayokuwa kwa kasi zaidi barani Africa na inadhaniwa kuwa hadi kufikia 2020 inaweza kuwa katika orodha ya majiji tajiri duniani,Congo Kenya wametoa miji miwili,Congo miji Miwili na Angola Mitatu,Tanzania bado tumelala usingizi? Cheki hiyo link hapo juu ya maelezo ya hiyo miji,Na miji yenyewe ni

10. Mombasa - Kenya
9. Dundo - Angola
8. Nairobi - Kenya
7. Adis Ababa - Ethiopia
6.Soyo - Angola
5. Cairo - Egypt
4. Lubumbashi - Congo
3. Lagos - Nigeria
2. Kinshasa - Congo
1. Luanda - Angola
 
Fastest-Growing African Cities Until 2020 | Afribiz.info
kaka nimekuwekea hiyo utasemaje sasa, wewe unatuwekea za 2010, hii ni current as at September 2012
 
Hizi compilation kila mtu anaweka zake ili kujifurahisha. Ukiweka hapa yako na wengine wanaweza kukuwekea nyngine kama 100 hivi zenye majina ya miji tofauti na yako!
 
Mi nahamia Mogadishu maana Shaabab washamalizwa na mji wao ni wa 12.
 
Usitegemee kwa nchi inayoongozwa Na mafisadi na kutegemea misaada kutoka nje ili iendelee! hata kigamboni itakuwa ni ndoto! Kama ikitokea hata kigamboni ikajengwa kwa msaada Wa wazungu ujue si bure tumeuzwa! miji hujengwa na rasilimali za nchi Na inawezekana tu kwa viongozi wanaowajibika Na wenye uzalendo Wa kweli.
 
Back
Top Bottom