the food on someone else's plate always looks (and sometimes tastes) better than what you're having?

bulldoza

Senior Member
Sep 28, 2011
133
42
Wanajf poleni na kazi /mihangaiko ya mchana kutwa…
Nimekuwa na swali najiuliza ….Chakula cha sahani ya mwenzio mara zote huonekana na ubora zaidi ya kile chako?wangapi kati yenu wanaoamini haya maneno jameni?
Ni kwanini mabinti wanapenda waume za watu ….kwa mafano unakuta kijana ana mke mkali kila secta kifupi wana maisha mazuri …ila utakuta hawa mabinti mate ya uroho yanawatoka ..ni kwanini?

Is it true Maybe it's because they assume that if a good-looking woman is with such a man, they need to prove that they're just as hot as her?ama ni kitu gani hasa kinawafanya waingie kwenye hizi mbio za kunasa ambao wameoa?
Karibuni tuchangie na nawatakia safari njema kurudi majumbani ..
 
Ngoja waje watakwambia. Ila jiulize pia, ni kitu gani kinamfanya mwanaume kumuacha mke wake kwenda kuwatafuta hao wa nje?
 
Ngoja waje watakwambia. Ila jiulize pia, ni kitu gani kinamfanya mwanaume kumuacha mke wake kwenda kuwatafuta hao wa nje?

Thank you. Umemaliza kila kitu maana wamezidi kila wanachofanya kibaya wanatafuta jinsi ya kuwatwisha wanawake mzigo wa lawama.
 
Thank you. Umemaliza kila kitu maana wamezidi kila wanachofanya kibaya wanatafuta jinsi ya kuwatwisha wanawake mzigo wa lawama.

Ennie jaribu kunielewa hakuna anayekutwisha mzigo my dear..niswali tu fikiri kidogo mamy!!
 
alafu kweli kabisa ata mie nimekuwa najiuliza ilo.....alafu wanakuja na gia kubwa mpaka mwenyewe unalegea..
..kazi ipo hapa!!!!
 
Back
Top Bottom