The flamboyant Lowassa

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,200
79,433
1.jpg

Presidential reception, the guy with spectacles stood upright n couldn't wait to give Mr Presoo a hand shake

3.jpg

Presidential escort wished to have seen a picture in the office i bet Bendera must have given him his seat to sign the guest book and get the daily updates

13.jpg

That smile from Alhaji says sth "bird of the same feathers"....

17.jpg

This smile here from Cardinal Pengo though looks fake, but he had to give one cause Laigwan is unresistable...
15.jpg

Shssss.....H.E. trust me Songea Diocese is in ur bag.....

16.jpg

Seeing off H.E. waiving the crowd another Bishop was tasked to do so unwavering! Ohooo God, need we say more?


This is unbelievable... we r witnessing history in the making! Laingwan is proving to be unabandoned wagon within the CCM rankings towards the ultimate coronation! Whether we like it or hate it, he is a man of his own class that has distinguished himself and come 2015 he is a man to beat....!

Credit: michuzi-matukio.blogspot.de
 
Eeee wajameni hizi picha zina maelezo mengi lakini yoote yakiongea kitu kimoja tu! Nacho ni power of this man from Monduli...

Hebu tujaribu kujiuliza kama leo hii wewe unaonyeshwa hizi picha halafu humjui Lowassa halafu unaambiwa utoe maelezo! Nina uhakika 99% utasema Mtu mrefu mwenye mvi ndiye center of attention na hizi picha zinaonyesha ni mtu mkubwa/mashuhuri/kiongozi katika jamii!

Japokuwa kanisa Katoliki limejaribu kukataa kumualika Lowassa ukweli ni kwamba technically Lowassa ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi ule! Na ndiye aliyeiwakilisha serikali japokuwa kulikuwa na Mh Bendera, Waziri Kombaini na Waziri Mponda hawa woote hawakuwa na ukuu aliokuwa nao Mh Lowassa ambaye kiwadhifa ni Mbunge tu wa Monduli!

Hebu angaliani anavyonyenyekewa! Hii nchi imenunuliwa jamani tukubaliane hilo huyu jamaa ni noma!
 
Then you have nothing between your ears. Kwa hiyo hizi picha ndo kielelezo cha kukubalika au uwezo wa uongozi? Hao unaodai wanamnyenyekea (Kama ni kweli) hawana tofauti na unachokifanya wewe.

Ni vizuri mkajua kwamba hiyo mileage anayopiga kukimbizia sherehe za makanisa ndizo zinazomuongezea kiharusi maana mwisho wa siku approval rating yake haipandi na bado jamii inanasibisha shida zao na yeye. Mwache aendelee ku-masquerade lakini obituary yake ya kisiasa imekaribia.
 
Kanisa katoliki ni kanisa langu tangu kuzaliwa kwangu.Nimezaliwa na kukulia humo.Ni kanisa thabiti na lisiloteteleka.Lakini,kwa sasa mnaniangusha.Mtamwalikaje fisadi nambari moja nchini Edward Ngoyai Lowassa tena kwenye sherehe ya kumsimika Askofu Saritarius Libena? Hamjui kuwa pesa alizonazo Lowassa ni chafu? Kardinari Pengo umeruhusu jambo hili? Kanisa langu lapoteza dira...
 
If a man is proud of
his wealth, he
should not be
praised until it is
known how he
employs it. ~Socrates
 
post hii ilishakuwepo hapa, anyway, kwani wakimwalika lowasa wewe imani yako inadhurika na nini?? just wewe amini katika kile unachokiamini na ukiona kuna mahara halipo sawa achana napo, na fuata yale unayoona yako sahihi, lowasa au pengo hatukupeleka mbinguni bali ni imani na matando yako
 
Hii ishu ni ngumu, sidhani kama ni vibaya kwa EL kuibuka kanisani kujisafisha labda ndio anatubu hivyo makosa yake...!
 
mzee acha kukurupuka,Yesu alipokuja duniani hakuja kwaajili ya watu wema,bali kwa wenye dhambi ili wapate kutubu.Pia kwa yeyote anayejiona kua hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia Lowasa mawe.Pia kipimo cha dhambi ni Mungua anayejua.Mungu ndiye anayejua kua Lowasa ana dhambi au la.Pia leo hii ukiambiwa Lowasa ana utajiri wa kiasi gani na uko wapi utasemaje?
 
post hii ilishakuwepo hapa, anyway, kwani wakimwalika lowasa wewe imani yako inadhurika na nini?? Just wewe amini katika kile unachokiamini na ukiona kuna mahara halipo sawa achana napo, na fuata yale unayoona yako sahihi, lowasa au pengo hatukupeleka mbinguni bali ni imani na matando yako

askofu ndorobo ni shemeji wa lowasa..ni mikakati hiyo..hamjui tu
 
Kwani umeambiwa kanisa linawatenga wenye dhambi? Hata ivyo limeishakanusha kumwalika. Itakuwa hujaingia JF wiki zimepita.
 
Ivi lowasa ana kosa gani?? Nani anaweza kuniorodheshea makosa ya lowasa hapa?? Sitanii mimi ni kati ya wanaompenda Lowasa (sio chama chake ) lakini kwa utendaji wakenamkubali. Pengine niorodheshewe ufisadi wake humu with evidence otherwise tuache majungu na kuchafuana.
 
Kanisa linatenda haki kabisa. Aliwezi kumtenga hata kama amekosea kwani kazi yake nikuwasaidia watu waweze kutenda mema. Uwezi jua kwani inawezekana Lowasa ameshakiri dhambi zake kwahiyo anazo haki zote. Mungu msaidie Edward Lowasa. Nafikiri anaweza kuwa kiongozi bora kwani ameshajifunza kwenye makosa. Watanzania tunaitaji watu wachapakazi. Tuache kushadadia magazeti.
 
Hatukatai Lowassa alikosea lakini sisi tunaendelea kulalamika na kumsema , utakuta yeye ameshatubu na kutengeneza na Mungu wake kwa hiyo ana amani kwenda popote. Biblia inasema dhambi zako zijapokuwa nyekundu kama damu nitazisafisha zitakuwa nyeupe kama theluji.
 
Geza Ulole mkuu ulichokisema ni kweli,hizi picha zina msg sana! Kila mtu amedraw attention as if Mh.Rais anapita! Kila mtu ana furaha kumsalimia!!!
 
Back
Top Bottom