The first KFC restaurant in Tanzania !

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
426027_419055258177385_1866095449_n.jpg

KFC Tanzania coming soon - Mikocheni, just opp Feza Nursery school.........

KFC, the world’s largest quick-service chicken restaurant chain with over 12,300 outlets in more than 80 countries..
 
hao kuku ni watamu balaa!! japo ni expensive ila ni watamu mnoooooo! nairobi huwa tunapanga na foleni kabisaaaaaaaa! japo full ni 4 thou kshs, ila hiyo nyomi ni balaaa!! nitakuwa mteja wao haswaaaaaaa, welkam kfc in bongo!
 
Tatizo bei ila ni wazuri sana hawa Kentucky
ndio hivyo tena starehe gharama...but let me say something,tuache ushamba kupapalikia mambo ya kimagharibi,haya mavyakula kiafya hayana mpango wala nini,wao wenyewe wanadiscourage ulaji wa mavyakula haya ndio maana kwenye nchi zao hayana market wanawaletea nyie na watu wa Asia!
 
ndio hivyo tena starehe gharama...but let me say something,tuache ushamba kupapalikia mambo ya kimagharibi,haya mavyakula kiafya hayana mpango wala nini,wao wenyewe wanadiscourage ulaji wa mavyakula haya ndio maana kwenye nchi zao hayana market wanawaletea nyie na watu wa Asia!

Coz wao wengi tayari wapo obese, n yet hawafanyi mozoezi ni kutupia vitu vya KFC,Pizza Hut, Mcdonald nk..yaan mtu akitoka jion job anapitia huko kwa hiyo migahawa kula kula wee halafu kulala bila zoez!
 
Nimezikula sana ukipata burger zao soma pembeni imeandikwa kuwa iko coated na sodiumglutamate na wanadiscourage children less than 12 yrs to take them so hadi hapo jua kuna madhara maana natural foods like ugali,wali,mchicha hakuna pingamizi juu ya nani ale nani asile
 
watu wengine hata hawajui hao kuku ila wanashoboka tu waonekane wa mjini hahahahahahahaahah eti oh cant wait hahaahahah

The only person who says can't wait mpaka sasa ni mimi @ nivea ...sasa una uhakika gan mkuu siwajui?unanijua mkuu? Sorry kama nimeku-offend bt kama ulinilenga mimi,utakuwa hujanitendea haki mkuu!
 
the only person who says can't wait mpaka sasa ni mimi @ nivea ...sasa una uhakika gan mkuu siwajui?unanijua mkuu? Sorry kama nimeku-offend bt kama ulinilenga mimi,utakuwa hujanitendea haki mkuu!
ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua jiwe limempata mtu huko sorry sijamlenga mtu wewe hujaona watu hapo wanauliza lini inafunguliwa jamani??????????
 
Back
Top Bottom