The Finest...Wewe ni kiboko, hongera sana!

so far....
HAKUNA HATA MMOJA ALIYENIAHIDI VIJIZAWADI KWA AJILI YA mtoto
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
 
so far....
HAKUNA HATA MMOJA ALIYENIAHIDI VIJIZAWADI KWA AJILI YA mtoto
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:

Muzee aisee kuna wanachama wengine wanakuja part ya zawadi yangu itakuwa ni hii (serengeti za VUGU VUGU)
 
Huyu mjukuu amenitisha sana, hebu ona hapa chini

With over 5.5K posts in 5 months..sijawahi kuona! On average jamaa anarusha zaidi ya posts 30 kwa siku.

Bravo mjukuu!

Babu DC.
nahisi kaka anakeshea humu...
 
bj shida ideroo

kaka kwa heshima na taadhima, nasimama hapa jukwaani, kwa niaba ya wenzangu!ukiwa kama mwanachama hai wa kile chama chetu cha Infi.....!kutokana na sifa alizozieleza hapo Dark City, tungependa tukuzawadie zawadi!!!!sijui ungependa leo tukuandalie chumba kwenye Guest gani?je, ungependa uungane na binti gani kutoka hapa Jukwaani ili kukamilisha furaha yako?najua valuu zitakuwepo bila shaka!

Nawasilisha mpwa!!!!!!!!!
 
hongera sana my dia,kazi ngum lkn umepambana duh uko juu!:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S-alert1:
 
Wakuu nipo kwa Mjapan hapa nawapata nafuatilia gemu kwa karibu sana Zenji wamesha bonyezwa 1

Hongera sana Tolu kisauti unagonga nyundo balaa hata NN haoni ndani
 
kaka kwa heshima na taadhima, nasimama hapa jukwaani, kwa niaba ya wenzangu!ukiwa kama mwanachama hai wa kile chama chetu cha Infi.....!kutokana na sifa alizozieleza hapo Dark City, tungependa tukuzawadie zawadi!!!!sijui ungependa leo tukuandalie chumba kwenye Guest gani?je, ungependa uungane na binti gani kutoka hapa Jukwaani ili kukamilisha furaha yako?najua valuu zitakuwepo bila shaka!

Nawasilisha mpwa!!!!!!!!!

AISEE BONDENI HOTEL ILA NAHISI VYUMBA VITAKUWA VIMEJAA KWA VILE KESHO SIO SIKU YA KAZI, KUHUSU BINTI HAPA AISEE HEBU NGOJA :thinking::thinking::thinking: LONG LIVE I.S.C
 
Wakuu nipo kwa Mjapan hapa nawapata nafuatilia gemu kwa karibu sana Zenji wamesha bonyezwa 1

Hongera sana Tolu kisauti unagonga nyundo balaa hata NN haoni ndani

Fidel80, Leo hawajanywa supu ya pweza
 
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::whoo::whoo::whoo::whoo:Hongeraaa Finest Unatisha
 
Back
Top Bottom