The Finest mmmmhhhh

Aisee nilikua wapi sijaona hii kitu? We Digidigi Heri ya Kuzaliwa naona sasa ka umri ka kuingia bar kametimia. hehehehehe habari yake ndovu ya kopo leo. Ngoja nimpigie Eliza afanye mambo kabsaa....leo ni keki ni ndafu ya kitmoto bana!:israel::israel:
 
Dah!! Mkuu umeamua kunimaliza kwa kutoa siri zote lol

kata.jpg

Yuleeeee nakuona unakula lecture...achana na mambo ya uchumba bana!! Ngoja niishie hapa,manake naweza nikakuwekea picha nyingine za primary ukivyochungulia wasichana kwa kioo...bwa..bwa..bwaaaaa!!
 
Huyu babu tayari na asipo chukua jiko mwaka huu basi tena kupata mrembo itakuwa kazi labda atumie fwedha kushawishi

Lakini mwenyewe kadai ni conflict of interest with u...nadhani anamaanisha mlikuwa na "Bifu"....bwabwabwabaaaaa
 
Lakini mwenyewe kadai ni conflict of interest with u...nadhani anamaanisha mlikuwa na "Bifu"....bwabwabwabaaaaa

Hahahaha hakuna bifu Sizinga ningekuwa na bifu nae ningemkaribisha Tip Top? na nimesha mwandalia na kiburudisho cha kumpa massage leo.
 
Hahahaha hakuna bifu Sizinga ningekuwa na bifu nae ningemkaribisha Tip Top? na nimesha mwandalia na kiburudisho cha kumpa massage leo.

Duh mkitoka TIP TOP,hembu pitieni pale Mabibo mwisho,bar mpya baadae tumalizie mipango yooooooe pale opposite 2nd gate LOYOLA kwa mama naniliii...!!coz nishatoa oda ya roast mbuzi katoliki kilo 3.
 
Duh mkitoka TIP TOP,hembu pitieni pale Mabibo mwisho,bar mpya baadae tumalizie mipango yooooooe pale opposite 2nd gate LOYOLA kwa mama naniliii...!!coz nishatoa oda ya roast mbuzi katoliki kilo 3.

Ebwanee napanyaka sana pale.

Alafu kwa nini ile Bar mpya yenye gorofa karibu na stand pale imefungwa?

Au yule aliye fungua kwa pembeni kamzidi kete kamati za ufundi?
 
Ebwanee napanyaka sana pale.

Alafu kwa nini ile Bar mpya yenye gorofa karibu na stand pale imefungwa?

Au yule aliye fungua kwa pembeni kamzidi kete kamati za ufundi?

Basi mida mibaya pitieni hapo...mtanikuta nimejaa teleee!! nadhani umejijibu mwenyewe, ni ufundi tu wa kibiashara!!
 
[QUOTE=The Finest Canter anaendesha nani PJ? Kama ni yeye basi nina uhakika Dompo litafika salama

Anaendesha bro Kaizer akisindikizwa na Fidel80, hao unadhani zitafika salama au kuna shaka
 
Basi mida mibaya pitieni hapo...mtanikuta nimejaa teleee!! nadhani umejijibu mwenyewe, ni ufundi tu wa kibiashara!!

Hahahaha vp usajiri unalipa lakini eneo husika?

Kama mwenye bar amefanya usajiri ovyo watu watahamia pale kwa Tiba
 
Halafu wewe Keren...ngoja tu nikae kimya, Mbona wanaifanyia hivyo ndo nini kukaa kimya hata hutaki kujua hali yangu? Hebu njoo chumbani nikunong'oneze leo uvae nini kwenye birthday ya TF, Najua kuna ka vazi fulani ukikavaa mie hua hoi.!!:bange:
Hahaha home boy sikuwezi siku hizi spidi yako kama ya vogue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom