The Finest mmmmhhhh

Hapan bado sana kuwa kidogo tena atleast ufikie umri wangu,inaelekea ulivyokuwa mdogo ulipenda sana kuwekea wadada vioo chini na kuwachungulia eeeeh?
18 naruhusiwa kuchungulia sasa
Hahahaha sikuwezi lol!!!
 
Sizinga Mkuu ndio nimegonga 18 yaani bado kijana kabisa lol

Mkuu!
hongera sana kumbe bado kijana sana, i thought ulikuwa unagonga kwenye 30, mkuu nakupigia saluti hata ninapoona post zako na comments zako nilikuwa najiuliza una umri gani, you're so wise man...
keep it up, but take care and many birthdays will come to you.
 
Happy Bday Mkwe bado nina machungu na wewe
Mungu akulinde na kukutunza pia akupe maisha mema marefu yenye baraka tele
enjoy your day
cake_wine_flowers.jpg
 
Hongera kwa kuzidi kula chumvi sasa hivi una 45yrs si haba ni mda muafaka wa kupata jiko sasa.

Aaagh mbona Fidel unanchanganya!! ye kadai yupo 18, we unamletea uzee 45+, hebu wekeni sawa kwanza hapa!!
 
Aaagh mbona Fidel unanchanganya!! ye kadai yupo 18, we unamletea uzee 45+, hebu wekeni sawa kwanza hapa!!
Unajua Fidel tuligongana nae kwenye maslahi fulani hivi pale maeneo ya TIP TOP na HIGHWAY ndio maana ameamua kunizidishia miaka ili anipeperushie njiwa
 
Happy Bday Mkwe bado nina machungu na wewe
Mungu akulinde na kukutunza pia akupe maisha mema marefu yenye baraka tele
enjoy your day
cake_wine_flowers.jpg
Mama Mkwe yale yalikuwa ni majaribu ila nimeshinda lol Shetani shindwa tokaaa kwa jina la
 
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..
Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.

happy Birthday, The Finest
happy Birthday, dear
happy Birthday, to you

Mungu akujalie maisha marefu
yenye amani,upendo, utulivu
Na Mwenyenzi Mungu akuongeze
Busara na Hekima katika maisha yako

Na tunawatakia Birthday Njema kwa walio zaliwa siku hii ya leo Mbarikiwe sana.. Amen..

Afrodensi, nimeipenda hii, HAPPY BIRTHDAY FINEST wa ukweli.
 
Mkuu!
hongera sana kumbe bado kijana sana, i thought ulikuwa unagonga kwenye 30, mkuu nakupigia saluti hata ninapoona post zako na comments zako nilikuwa najiuliza una umri gani, you're so wise man...
keep it up, but take care and many birthdays will come to you.
Hahaha Mkuu Mayanza hiyo age was just kiddin lol
 
Aaagh mbona Fidel unanchanganya!! ye kadai yupo 18, we unamletea uzee 45+, hebu wekeni sawa kwanza hapa!!

Huyu babu tayari na asipo chukua jiko mwaka huu basi tena kupata mrembo itakuwa kazi labda atumie fwedha kushawishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom