The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Thank you, thank you, thank you i will come to pick up W later i want to celebrate with himHAPPY BIRTHDAY FyNEST!
Thank you, thank you, thank you i will come to pick up W later i want to celebrate with himHAPPY BIRTHDAY FyNEST!
Thanks Mkuu ndio nimefikisha 18+Happy Birthday The Finest... How old are you?
Thank you so much WL najua nina kesi kwako sijaimaliza ila me and you hakuna lililoharibika lol
Babu nashukuru sana, hapo kwenye bluu muhimu sana babu mimi mwenyewe ndio nitawahi kupanga mezaAisee.....
Hongera dogo kwa kutimiza miaka 18.
Sasa unaweza kwenda jando na kuanza kutongoza....ukikwama, babu is always there for you!
BTW....hii haiwezi kuwa sababu ya kukutana leo?
Happy Birthday TF!
Nafikiri mzee wa usalule atakuwa amekupa kadi ya mwaliko nilimpatia mkononi kabisaBora kama unajua hilo,nakuwa mvumilivu sherehe ya bday ipite
Thank you so much mamito you're in the guest list, dah halafu via Mobile bado haujatoka tu asubuhi yote hii lolHappy Birthday TF may God shower you with his blessings. Have a wonderful day, be blessed.
Sizinga Mkuu ndio nimegonga 18 yaani bado kijana kabisa lol
Hahaha!!! Nashukuru sana Obidienti Grandidauta usikose basi leo Babu atakuwepo kwahiyo mjukuu sidhani kama anapswa kukosaHappy Birthday Babu yangu mie ...............MUNGU akuzidishie umri niweze kukuwashia kiko cha ugoro.
Ndimi
Obidienti Grandidauta
Hahaha Sizinga umenitoa nishai lol mkuu si unajua kuku wa siku hizi walivyo ukila unaota ndevu mapema.lol..lo..lol,the finest!! r u kidding me??mbona avatar yako (especially hapo kidevuni) inaonekana nyembe ishakwangua kama mara 100 hivi?? Halafu mada zako nyingi hapa jukwaani hazionyeshi kama ulikuwa under 18...!! Hapo je??
Nafikiri mzee wa usalule atakuwa amekupa kadi ya mwaliko nilimpatia mkononi kabisa
Mkuu nitakunong'oneza baadae basi lol!!!!lol..lo..lol,the finest!! r u kidding me??mbona avatar yako (especially hapo kidevuni) inaonekana nyembe ishakwangua kama mara 100 hivi?? Halafu mada zako nyingi hapa jukwaani hazionyeshi kama ulikuwa under 18...!! Hapo je??
Mfalme wa amani lazima hakikishe unaipata si unajua naye amepata mualikoHiyo kea off ndo ulipokosea,maana hatanipa najua bday party nimeshaikosa
Mkuu nitakunong'oneza baadae basi lol!!!!

Aisee.....

Hongera dogo kwa kutimiza miaka 18.

Sasa unaweza kwenda jando na kuanza kutongoza....ukikwama, babu is always there for you!

BTW....hii haiwezi kuwa sababu ya kukutana leo?

Happy Birthday TF!