The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Khaaaa!! Haya bana!! Mi nashangaa sana kuna members humu hata siku siku yao ya kuzaliwa(sherehe) wanakuwa wagumu sana kugonga hivi vitu, sijui wakoje!!
Hebu waeleze bana, manake mi usiponigongea hako kadude huwa nakosa apetaiti ya kukamata lanchi ya mchana. Ngoja niongee na invizibo aturudishie na ile apetaiza nyingine inayoitwa "SENKSI"
 
Hiyo red umechakachua, hapa kwangu mbona panasomeka "You"? Khaa!.........Afu nambie kwanini TF umeipigia mstari? Una mimba yake au?...........Sore foo zis ofu topiki in zis yuziful sredi

em rudi juu soma tena..
ngoja.., kwanza futa hiyo miwani in ugali..
Halafu lako lina rangi ya blue ...
The Finest yake tayari ilikuwa na mstari chini..

bado hujanipa muda wa kuku uliza lile swali ndo maana nime nuna....
 
em rudi juu soma tena..
ngoja.., kwanza futa hiyo miwani in ugali..
Halafu lako lina rangi ya blue ...
The Finest yake tayari ilikuwa na mstari chini..

bado hujanipa muda wa kuku uliza lile swali ndo maana nime nuna....
Imeandikwa mvumilivu hula mbivu. Afu kama bado umenuna niambie nilog out.
 
Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa

SaraM....hii ni lugha gani.....lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom