Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???