The Fate of Saif al-Islam Qaddafi.

Nakwambia USA and NATO alliances wakimwaga mboga Iran, N.Korea, Venezuela wanamwaga ugali.

Venezuela sidhani,ila IRAN,NORTH KOREA,PAKISTAN hawatazigusa hata siku moja,wataishia kulialia tu!nadhani uanaelewa kwanini hawazigusi nchi hizo nilizozitaja licha ya "uchokozi" wa nchi hizo kwa marekani mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom