THE Fall of John Mnyika na Mdee: Majimbo yamewashinda

Status
Not open for further replies.
Hela ya utekelezaji wangetoa wapi wakati hii ndio bajeti yao ya kwanza? Wahukumu baada ya bajeti hii

Tazama na huyu nae, anaulizia hela? hela kwani hapa ujerumani?

Wanatakiwa waonyeshe mfano kwa fedha zao wanazopata bungeni japo kwa kuchimba visima tu. Si posho wamejidai hawazitaki! mbona kule wanalipwa na hawazirudishi, si wangezichukuwa wawachimbie visima wananchi waliowachaguwa? kinawashinda nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom