The expert Mlokole

Ilini put off big time
lakini kuna kitu alisema nilikuwa nacheka kimya kimya
alisema yeye hawezi tembea na muislam au mkatoliki...
si na mimi niko humo humo....nilimdanganya mi mlokole..lol

So funny, so akiwa mkatoliki/muislamu ndio inakuwa dhambi akiwa na pentekoste vuguvugu si dhambi!
 
Ilini put off big time
lakini kuna kitu alisema nilikuwa nacheka kimya kimya
alisema yeye hawezi tembea na muislam au mkatoliki...
si na mimi niko humo humo....nilimdanganya mi mlokole..lol

Hahaaaa...
Muislamu anayeiba nguruwe sio mwizi
 
Ilini put off big time
lakini kuna kitu alisema nilikuwa nacheka kimya kimya
alisema yeye hawezi tembea na muislam au mkatoliki...
si na mimi niko humo humo....nilimdanganya mi mlokole..lol

hii wamatengo wanasema ''nikabanish ban!''
 
fahamu walokole ni watu waliotoka katika daraja la matatizo makubwa maishani hivyo njia fupi waliyoiona wao ni kuokoka tu ndio watapata Amani, lakini hakuna wabaguzi km walokole hawa ili uoe lazima umuombe Mama Mchungaji akutongozee na utapata kilaini na lazima uoe
wanawake wao wakikosa kuolewa huamua kuacha na hata akipata mume ndio mwanzo wa kuonyesha makucha yao
Humu ndani ya JF hakuna mlokole kwani hawaryhusiwi hata kufungua mapepo labda waambie link za kakobe au Emmanuel
 
pacha lazima the boss ahisi ameopo mwehu!manake hebu imagine mtu yuko naked halafu anahubir juu ya kitanda alichotoa kuzini juu yake !

Ndo maana namuambia The Boss kuwa huenda alimpa kazi ya ukwee..manake wengine wakidata wanakuwaga kama wehu kumbe game tu limemkubali!
 
Last edited by a moderator:
Wacha weeh! Hiyo round ya kwanza performance yake na yeye alikupiga 3-0? Ama ww ndo ulimzidi? Baada ya mahubiri mkarudia sakramenti?
Baadhi ya walokole ni 'wagonjwa tu wa akili'
so matendo yao huwa vurugu tupu

niliwahi opoa mdada mlokole
baada ya round ya kwanza
akapanda kitandani na biblia huku yuko naked akaanza kunihubiria...
 
ah bwana niache mbavu zangu mimi ah!sasa aliogaje na hiyo biblia mkononi au ilibidi umwogeshe huku unaitikia AMEN!?

alikuwa amepanga mwanzo aende kwenye mkesha kanisani
akabadili akasema tuendelee tu lol
yaani mi niliona vioja tu...
 
Back
Top Bottom