The Engineers tafadhali msaada wa haraka

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha Nyumba nimejenga nimevuta umeme na ndani nilishaingia kwa kiasi ya sh milion 5na nusu
 
Tueleze unataka kujenga wapi?, Je una kiwanja! Kama una kiwanja , umetafuta ramani ?
Pesa yako (5m) inatosha kuanza ujenzi, na utafanya finishing taratibu.
Kila la kheri
 
Msaada gani mkuu? Nyumba ni "pana" sana! Na wahusika si ma-engineer tu..........
 
Tueleze unataka kujenga wapi?, Je una kiwanja! Kama una kiwanja , umetafuta ramani ? Pesa yako (5m) inatosha kuanza ujenzi, na utafanya finishing taratibu. Kila la kheri[/QU £kiwanja ninacho sasa nahofia nisije nikaanza ujenzi halafu hii mil.5 isitoshe ndio mana nikaja kuuliza hapa
 
Nyumba ya rum tatu ndio nini?ina maana vyumba vya kulala vitatu sebule,jiko au nyumba yote ndio rum tatu,hyo pesa naamini itakamilisha msingi 2 vizuri,
 
Fanya hivi chukua ramani yako,mpe fundi atakupigia gharama zote za material na pia za ufundi wake then utakuwa umepata estimate yako,matofali yenyewe yatakula hyo tano bado mchanga,bado cement,bado fundi,mh embu mpe fundi ramani akupe estimate,
 
Hiyo pesa haitoshi kama huna kiwanja wala tofari na kama vitu hivyo unavyo utaanza ila no finishing yoyote hapo
 
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha

Will help when u plan for dream house!!!! I leave this for fundi mchundo, u dnt need engineer here!!!!!!!!
 
million 5 seriously kwa residential ya 3 bedrooms, na other facilities like sitting, dining, kitchen,store, baraza, n things like those, 4 sure hata msingi humalizi,, gharama za ujenzi zimepanda sana,,,, unless unaongelea room tatu as rooms kabisa bila chochote cha ziada, mayb 5 million itakupeleka kwenye ringbeam.,, but 4 sure bro, mimi ni mtaalamu wa ujenzi, nakushauri professionally, i have a lot of experience kwenye ujenzi,,, 5 million ni kidogo sana
 
Will help when u plan for dream house!!!! I leave this for fundi mchundo, u dnt need engineer here!!!!!!!!
kaka naona vitu vya wadogo wako hapa wewe ni maji mafupi huna sababu ya kuvuka kwa kuogerea pita kwa kukunja suruali tu
 
ha ha ha....your ID tells all kama sio feki. by professional ushauri wako utamsaidia sana

million 5 seriously kwa residential ya 3 bedrooms, na other facilities like sitting, dining, kitchen,store, baraza, n things like those, 4 sure hata msingi humalizi,, gharama za ujenzi zimepanda sana,,,, unless unaongelea room tatu as rooms kabisa bila chochote cha ziada, mayb 5 million itakupeleka kwenye ringbeam.,, but 4 sure bro, mimi ni mtaalamu wa ujenzi, nakushauri professionally, i have a lot of experience kwenye ujenzi,,, 5 million ni kidogo sana
 
Wewe unaonekna upo morogoro au mbeya:::

5mil inatosha na chenji inabaki..Tofali za kuchoma moja sh 50/= na chumba kimoja kinachukua matofali 2000,kwahyo vyumba vi3 blocks 6000;::Ukijumlisha matofali 4000 kwa ajili ya sebule na store/kitchen

1.Matofali=500000/=
2.Ufundi hadi juu 400000/=
3.Andaa bati 30:;;450000/=
4.Nondo 10(12mm,10mm);;;170000/=
5.Mifuko ya cement 25:::350000
6.Mchanga Loli 5::::300000

Mpaka hapo ushatumia Apprx:;;2.1mil hiyo chenji utanunulia mbao na Gypsum wiring na kuvutia umeme na chenji inabaki kama upo moro au mbeya ni PM
 
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha

Na ukitaka kununua kitanda tujulishe.
 
Hiyo pesa huendi popote, labda kama unazungumzia vyumba vya 1mx 2m. Hiyo pesa hata msingi hauishi. Labda kama unajenga ukonga kwenye ardhi ya mchanga.
 
Hiyo pesa huendi popote, labda kama unazungumzia vyumba vya 1mx 2m. Hiyo pesa hata msingi hauishi. Labda kama unajenga ukonga kwenye ardhi ya mchanga.

ni kweli kbsa broo,,, watu hawajui, gharama za ujenzi siku hizi hazishikiki,,,, mfuko tu wa cement 13,500,,tenna iyo bei ya jumla,, kumwaga jamvi ya a simple residential house, u need kama 100 bags,, niambie cement ya jamvi tu ni bei gani hapo, 1.35m,, na hiyo ni jamvi tu,, hujachimba msingi, hujamwaga strip footing concrete, hujanunua na kupandisha ukuta wa tofali za kulaza, hujaweka nondo za ground beam, hujaweka brc mesh hujaweka mawe ya hardcore, hujaweka damp proof membrane, hujaweka kokoto na mchanga wa jamvi, hujawalipa mafundi,, hapo ni msingi tu,,unaeza ukachanganyikiwa, milion 5 itatoshaje hapa??
 
ha ha ha....your ID tells all kama sio feki. by professional ushauri wako utamsaidia sana

i am not fake mkuu,, i am a professional architect,, some of the members humu jamvini have used my services, and u can ask them for proof,, one of them ni jamaa anaetumia i.d ya shark humu ndani, comred pia, na wengine wengi tu
 
Wewe unaonekna upo morogoro au mbeya::: 5mil inatosha na chenji inabaki..Tofali za kuchoma moja sh 50/= na chumba kimoja kinachukua matofali 2000,kwahyo vyumba vi3 blocks 6000;::Ukijumlisha matofali 4000 kwa ajili ya sebule na store/kitchen 1.Matofali=500000/= 2.Ufundi hadi juu 400000/= 3.Andaa bati 30:;;450000/= 4.Nondo 10(12mm,10mm);;;170000/= 5.Mifuko ya cement 25:::350000 6.Mchanga Loli 5::::300000 Mpaka hapo ushatumia Apprx:;;2.1mil hiyo chenji utanunulia mbao na Gypsum wiring na kuvutia umeme na chenji inabaki kama upo moro au mbeya ni PM ahsante mkuu lakini mimi niko kilimanjaro na kwenye maelezo hujaonyesha kama kuna mawe unaweza kurudia mkuu?
 
Apolonary hyo hela inatosha sana nimekupa hiyo kukuonyesha mwanga tu swala la mawe sio issue sana tena kwa huko ni very cheap hiyo 2.9mils ina cover miscellenous
 
Back
Top Bottom